Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JUMATATU, AGOSTI 20, 2012 07:43 NA MWANDISHIN WETU, DAR ES SALAAM *Ni kuhusu Kiwanda cha Tangawizi Same *Yadaiwa hakuna kiwanda ni kiini macho MBUNGE wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Akizungumzia hitimisho la bunge lililopita ameainisha mambo mbalimbaliambayo hakika yamepambanua upeo wake kisiasa 1.amezungumzia utoro wa wabunge unavyowakosesha umakini wa kufuatilia hoja na...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Akiongea katika mkutano mkuu wa 10 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Meru uliofanyika Ngarenanyuki, Mheshimiwa Nasari alitoa pongezi kwa kanisa hilo kwa juhudi zake za...
2 Reactions
111 Replies
15K Views
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete. Ahsante Kikwete...
6 Reactions
278 Replies
19K Views
NEWS By JOINT REPORT The EastAfrican Posted Saturday, August 18 2012 at 20:41 IN SUMMARY The firm revealed it plans to start on the deep water exploration well (Alpha) in Block 7 off...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kati hali ya kutaka kuhamasisha waislam kushiriki sensa mkuu wa wilaya alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuhamasisha sensa na kukataa kujibu maswali. Shukrani kwa polisi walio kuwepo eneo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita amesema kama siyo busara za Rais Jakaya Kikwete kukiongoza chama hicho, tayari kingekuwa kimesambaratika. Pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Labda mimi nipo nyuma ya wakati, huyu kijana aliahidi kushughulikia kero za simu kwa watumiaji. Ikiwamo message zinazoingia bila mpango, charges za simu, kutopatikana kwa simu wakati...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Monday, 20 August 2012 08:59 James Magai MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed na wenzake wameendelea kuwang’ang’ania wadhamini wa Chama cha Wananchi (Cuf), wakiiomba Mahakama Kuu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Dk Harryson Mwakyembe amesema serikali itabeba jukumu la kulipa mishahara ya wafanyakazi Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA, baada ya wafanyakazi hao kucheleweshewa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa amemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutoa taarifa ya Michango iliyotolewa na nchi marafiki,Makampuni,Taasis na watu binafsi kwa wahanga wa Mafuriko ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tarime — THE Minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo is scheduled on TODAY to visit local communities surrounding North Mara Gold Mine. "The minister will arrive here TODAY...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maputo — PRESIDENT Jakaya Kikwete has called for concerted efforts from member states to ensure the Southern African Development Community (SADC) enjoys peace and stability. In his acceptance...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Report finds academic fraud evidence in UNC department-Tanzanian Professsor Involved!! Julius Nyang'oro An internal investigation into UNC Chapel Hill’s Department of African and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASEMA ALIANZA KULISHUGHULIKIA JANA, LINAHUSU TUHUMA ZA UUZWAJI WA KIWANJA KWA MOHAMMED ENTERPRISES Patricia Kimelemeta na Raymond Kamnyoge | Mwananchi | 21 May 2012 MKURUGENZI Mkuu wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
katika mzozo wa Tz na Malaw,kuna mengi yalisemwa na watu mbalimbali. Alianza EL akiwa bungeni akaita waandish wahabari na akatangaza kwamba jeshi liko tayar kwa vita,wik kadhaa badae JK akiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Malawi and Tanzania representatives are scheduled to meet in Mzuzu on August 20 2012 ; Malawi wana hoja 3 za msingi. .1. Anglo-Germany treaty 1890 Boundary inayoonesha Tanganyika mpk hupo...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Serikali (Raisi) na mahakama ni maswahiba na mahakama imekuwa ikitii maelekezo yote yawe sahihi au batili kutoka serikalini! rejea kessi ya Arusha mjini, rejea kesi ya Segerea, rejea mgogoro wa...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Ninalazimika kutumia majina manne ya Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda kuonyesha heshima kubwa kwake, na bila shaka anapaswa kuipokea. Sitaki aipokee kwa kuitikia ‘naam', la hasha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baadhi ya wagonjwa wa saratani waliolazwa katika hospitali ya Ocean road jijini Dar es salaam wamelalamikia ukosefu wa vifaa vya matibabu katika hospitali hiyo huku wakiitaka serikali kufanya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom