Hamad rashid atahamia adc lini?au ndo kawatosa wenzie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad rashid atahamia adc lini?au ndo kawatosa wenzie?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, Aug 20, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Nimeshindwa kuelewa kelele na mbwembwe za muasisi mahsusi wa adc mbunge wa wai kupitia mahakama mh.hamad rashid zimeishia wapi kwani kwa sasa simsikii tena akiitaja adc wala akijaribu kuwasaodoa wale walioondoka nae cuf kwa lengo la kuanzisha adc.ama kweli posho tamu kwani hamad rashid kashindwa kabisa kutekeleza lile aliloahidi.
   
Loading...