Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by keulankubha, Aug 20, 2012.

 1. keulankubha

  keulankubha Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]Fikiri kabla ya kutenda. Nidhairi kuwa viongozi wetu wana ufinyu wa fikra, ili jambo haliingii akilini na linasikitisha sana kuwa na viongozi kama hawa. Inakuwaje? Ikulu tuna muuzia Marekani. Watanzania niwajibu wetu kulikomboa taifa ili tuachane na ushabeki wa chama.

  Ni wajibu wa kila mmoja wetu kusimama na kulitetea na kulikomboa taifa letu ambalo kwasasa liko katika mikononi mwa wanyang'anyi.[/FONT] [FONT=&amp]Pili ningependa kila mtanzania ajue kuwa Tanzania hatuko huru bali uhuru wa bendera. [/FONT] [FONT=&amp]Tatu ikumbukwe kuwa viongozi wetu ni madikteta, mfano mzuri tuangalie Kigamboni ambayo imeuzwa, imeuzwa kwa lidhaa ya nani?

  Kama sio udikteta, nimatumaini yangu kuwa kila kitu kinachofanyika viongozi wetu ujiuliza kuwa watatufanyeje hawa zezeta? Ili linaonesha kuwa huu ni udikteta usiokuwa na mfano, wana Kigamboni wana atimiliki za maenoe yao lakini hawakuusiswa katika sakata la kuuzwa sehemu yao. Lakini ili ni kwasababu yao serikali kujua uhozo wanaofanya katika nchi hii na sisi kukaa kimya.

  Tena wanapokuja katika kapeni tunawapa ridhaa ya kuongoza taifa tena kama vile hatuoni uhozo wao. Naili inabidi tuliangalie kwa umakini.. Ndugu zangu watanzania ili tusiliachie wananchi wa Kigamboni ilinatuhusu sisi pia kama watanzania wazalendo na wapenda haki.[/FONT] [FONT=&amp]

  Ninapenda viongozi wajue ni wajibu wao kama viongozi kabla ya kufanya kitu chochote kinacho husu wananchi wanaokaa katika eneo ilo au lolote kwanza wakubaliane kabla ya kutenda/kufanya kitu chochote. Hapa inasemekana hakuna mwananchi mwenye haki katika nchi hii.[/FONT] [FONT=&amp]

  Wananchi swala la Kigamboni tusiwaachie kigamboni tu. Ili ni swala la kitaifa tuachane na uzezeta wa kushangilia eti Tanzania itakuwa kama Ulaya, ndugu zangu mtegemea cha nduguye ……………………… kwanini tusifaye yetu? Kama tunataka tuwe kama Ulaya tutakuwa kama Ulaya kwa kulinda na kusimamia mali za taifa letu.[/FONT] :wacko:
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mkuu umeandika kwa uchungu sana na kujaribu kuonyesha kuwa wewe ni mzalendo, ninavyojua uzalendo unaenda sambamba na uasilia wengine hupenda kuita uzawa. Naomba kuuliza wee kweli ni mtanzania mwenzetu au magumashi, pitia sehemu nilizoweka red.
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  maumivi ya kichwa huanza taratibu
   
 4. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  na yakiendelea fuata ushauri wa daktari
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hatuwezi kubaki karne ya saba wakati sisi ni sehemu ya dunia inayoingia kwa kasi katika teknologia ya kisasa ya sayansi na electronic.usitumie uwekezaji wa kigamboni kutafuta umaarufu
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Una hoja nzuri lakini usitumike kisiasa
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nchi ishauzwa sisi ni wapangaji tu...
   
 8. m

  majebere JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Nyimbo ile ile lakini muimba mwingine, leteni mambo mapya bana sio kurudia haya haya.
   
 9. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kuna watz wajinga kweli,eti hatuwezi kurudi nyuma kwenye uwekezaji wa kisasa-Kigamboni.Kwani uwekezaji wa kisasa ndo hauhitaji maoni na ushirikishwaji wa wananchi? Hata kwenye ubinafsishaji magamba mlifanya hivyo hatimaye uozo kibao.
   
 10. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Watu tayari wameshawekewa mpango wao Uswisi!
   
Loading...