Nilibahatika check live hii hotuba.This is one of the CDM`s trademarks.Alikuja tena Sugu, katika hotuba aliyochomekea kuwa si "upepo ni Kimbunga na kinapita na dhoruba" .Jamaa waliweka discipline kuanzia siku hiyo bungeni,miongozo ilipungua, vijembe vilipungua..
Kwa siku hiyo si PM, wala speaker, wala nani wa CCM walikuwa na nguvu katika session nzima.Walipata nguvu baada ya PM kwenda fikiri upya na kuwafunda tena.It was a cutting edge piece with a commanding tone. "ULIPITA UKIMYA KAMA VILE JAMAA ALIKUWA ALIKUWA AKIWAPA UPAKO".
CDM wana vipaji, wanajua kuhutubia, wana ujasiri na commanding power, sijui kama Kagasheki ndio angefuatia baadaye siku hiyo sijui kama angeweza piga vile vijembe na kejeli,kama siku alipokuwa akisilisha Ya wizara yake.