Seleman Zedi Amerithishwa Ufisadi Ulioanzishwa Na Mtangulizi Wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Seleman Zedi Amerithishwa Ufisadi Ulioanzishwa Na Mtangulizi Wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Aug 20, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mh. Seleman Zedi ambaye ameiongoza kamati ya kudumu ya Nishati na madini, alipewa mbuzi ndani ya gunia na mwenyekiti aliyepita (Siwezi kutaja jina kwa maana inasemekana ana hisa kwenye hii forum, ukiweka jina lake ghafla linatoweka) akishirikiana na Mwenyekiti ya Mahesabu ya mashirika ya umma, wametengeneza dili nyingi za kifisadi kupitia nafasi zao. Sasa hivi hawa vijana wawili wenye ukwasi mkubwa wa kifedha wanajaribu kuwaingilia wabunge walioteuliwa kuongoza uchunguzi huru. Tunaomba umma wa kitanzania umnasue Mh. Seleman Zedi, kwani shutuma zote anazobeba amerithishwa. Tujadili kwa uhuru
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kabla ya Mhe selemani Zedi, mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini alikuwa January makamba na mwenyekiti wa mahesabu ya mashirika ya umma hadi sasa ni zito kabwe. hebu mwaga hizo dili zao na ukwasi wao hadharani, acha woga. Vinginevyo tutakuombea mwongozo wa spika.
   
 3. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,112
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  kama amerithishwa ajitetee kumbukumbu si zipo kama ameweza kujenga hoja akachaguliwa kuwa mbunge bila kujali ni wa kuchaguliwa au vit maalumu na uhakika anaweza kujinasua lakini kama alibebwa itakula kwake
   
Loading...