Chadema yasambaratisha mkutano wa DC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yasambaratisha mkutano wa DC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Aug 20, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CHAMA cha Demokrasia na Maendendeleo (Chadema), kimevunja mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elius Tarimo baada ya mikutano hiyo kugongana, huku wa mkuu wa wilaya ukilazimika kuvunjika kutokana na kukosa watu. Tukio hilo lilitokea Kata ya Lumuma,Tarafa ya Kidete, wilayani humo wakati ratiba ya mkutano wa Chadema na mkutano wa mkuu wa wilaya wa kuhamasisha wananchi kushiriki sensa ilipogongana.

  Viongozi wa Chadema waliwasili katika kata hiyo saa 9.00 mchana na kuamua kufanya mkutano wao stendi ya mabasi,umbali wa mita takribani 500 kutoka sehemu ulipoandaliwa mkutano wa mkuu wa wilaya hiyo. Kufuatia hali hiyo,baadhi ya watu ambao walikataa kujitambulisha majina yao wakiwamo waliovalia sare za CCM, walianza kuzozana na Mkuu wa Operesheni wa Chadema, Singo Benson huku wakikitaka Chadema kusitisha mkutano wake ili kupisha mkuu wa wilaya.

  Saa moja baada ya Chadema kuanza mkutano wake,ujumbe wa mkuu wa wilaya uliwasili kwenye eneo la mkutano na Ofisa mtendaji wa kata hiyo,Deo Lisanga akiwa ameambatana na mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Wilaya (OCD), walipovamia mkutano huo na kutaka usitishwe kwa madai haukuwa halali.

  Benson alimweleza mwakilishi wa OCD, Antony Mkwawa kuwa mkutano wao ni halali na una baraka zote kutoka kwa kamanda wa polisi wa wilaya, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Said Mwema. Baada ya kuelezwa hivyo waliondoka eneo hilo na kwenda kuahirisha mkutano wa mkuu wa wilaya.

  Kwa upande wake,kada wa Chadema, Ally Bananga aliwaeleza wakazi wa kijiji hicho kuwa chama hicho kimeanzisha mpango wa kuwa na serikali mbadala katika kila kijiji na kata,ili wananchi wenye kero zao waziwasilishe kwa uongozi huo na Chadema makao makuu itafute ufumbuzi.

  My take:

  Hapo kwenye red soma kwa makini, nadhani huu ni mpangi makini wa kujiandaa kuchukua dola.

  Source: Mwananchi
   
 2. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Wala Tusimshangae mkuu wa wilaya Hata ungekuwa ni mkutano wa kikwete ungevunjika tu. Jamani hiki kimbunga si cha kuzuia kwa mkono!
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  True, huo mkakati ni mzuri. Navutiwa sana na watu makini wanaoweza kuandaa na kutekeleza vitu kama hivi
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,267
  Likes Received: 12,987
  Trophy Points: 280
  heheheh kwa hili la serikali mbadala n izuri sana litasaidia kama wananchi watatoa ushirikiano
   
 5. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  do tazania bhana....mwisho wa siku kale kauchaw ka ccm 2015 watakapulza na kuchukua nch krahc
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wao wana dola sisi wanyonge tuna Mungu.
   
 7. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Inanikumbusha mikutano miwli wakati wa kampeni ya uchaguzi jimbo la Nyamagana. Siku hiyo Lawrence Masha alikuwa na Jakaya Kikwete pale Sahara kukawa na watu kiduchu kwani wengi walikimbilia viwanja vya Nyakabungo alikokuwa Ezekiah Wenje.
   
 8. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,850
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Mbona Pinda alisema ni wenyeviti wateule wa Magamba wa wilaya?? Mbona mnasema Mkuu wa wilaya, wilaya au Mwenyekiti wa CCM Wilaya?
   
 9. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  A very good strategy 4the CDM GVT.
   
 10. L

  Lekakui JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,411
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"][/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  Venance George, Morogoro
  CHAMA cha Demokrasia na Maendendeleo (Chadema), kimevunja mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elius Tarimo baada ya mikutano hiyo kugongana, huku wa mkuu wa wilaya ukilazimika kuvunjika kutokana na kukosa watu.

  Tukio hilo lilitokea Kata ya Lumuma,Tarafa ya Kidete, wilayani humo wakati ratiba ya mkutano wa Chadema na mkutano wa mkuu wa wilaya wa kuhamasisha wananchi kushiriki sensa ilipogongana.

  Viongozi wa Chadema waliwasili katika kata hiyo saa 9.00 mchana na kuamua kufanya mkutano wao stendi ya mabasi,umbali wa mita takribani 500 kutoka sehemu ulipoandaliwa mkutano wa mkuu wa wilaya hiyo.

  Kufuatia hali hiyo,baadhi ya watu ambao walikataa kujitambulisha majina yao wakiwamo waliovalia sare za CCM, walianza kuzozana na Mkuu wa Operesheni wa Chadema, Singo Benson huku wakikitaka Chadema kusitisha mkutano wake ili kupisha mkuu wa wilaya.

  Saa moja baada ya Chadema kuanza mkutano wake,ujumbe wa mkuu wa wilaya uliwasili kwenye eneo la mkutano na Ofisa mtendaji wa kata hiyo,Deo Lisanga akiwa ameambatana na mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Wilaya (OCD), walipovamia mkutano huo na kutaka usitishwe kwa madai haukuwa halali.

  Benson alimweleza mwakilishi wa OCD, Antony Mkwawa kuwa mkutano wao ni halali na una baraka zote kutoka kwa kamanda wa polisi wa wilaya, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Said Mwema.

  Baada ya kuelezwa hivyo waliondoka eneo hilo na kwenda kuahirisha mkutano wa mkuu wa wilaya.
  Kwa upande wake,kada wa Chadema, Ally Bananga aliwaeleza wakazi wa kijiji hicho kuwa chama hicho kimeanzisha mpango wa kuwa na serikali mbadala katika kila kijiji na kata,ili wananchi wenye kero zao waziwasilishe kwa uongozi huo na Chadema makao makuu itafute ufumbuzi[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 11. M

  Makupa JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  siku hizi kuna wagonjwa wengi sana wa akili humu jamvini
   
 12. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Ya ni kweli cuz hata wahalili na wamiliki wa magazeti kama mwananchi pia......source Mwananchi la tar 20.08.2012 Mwandishi ni Venance George,

  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Chadema yasambaratisha mkutano wa DC [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Monday, 20 August 2012 09:02 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  Venance George,Morogoro
  CHAMA cha Demokrasia na Maendendeleo (Chadema), kimevunja mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elius Tarimo baada ya mikutano hiyo kugongana, huku wa mkuu wa wilaya ukilazimika kuvunjika kutokana na kukosa watu.

  Tukio hilo lilitokea Kata ya Lumuma,Tarafa ya Kidete, wilayani humo wakati ratiba ya mkutano wa Chadema na mkutano wa mkuu wa wilaya wa kuhamasisha wananchi kushiriki sensa ilipogongana.

  Viongozi wa Chadema waliwasili katika kata hiyo saa 9.00 mchana na kuamua kufanya mkutano wao stendi ya mabasi,umbali wa mita takribani 500 kutoka sehemu ulipoandaliwa mkutano wa mkuu wa wilaya hiyo.

  Kufuatia hali hiyo,baadhi ya watu ambao walikataa kujitambulisha majina yao wakiwamo waliovalia sare za CCM, walianza kuzozana na Mkuu wa Operesheni wa Chadema, Singo Benson huku wakikitaka Chadema kusitisha mkutano wake ili kupisha mkuu wa wilaya.

  Saa moja baada ya Chadema kuanza mkutano wake,ujumbe wa mkuu wa wilaya uliwasili kwenye eneo la mkutano na Ofisa mtendaji wa kata hiyo,Deo Lisanga akiwa ameambatana na mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Wilaya (OCD), walipovamia mkutano huo na kutaka usitishwe kwa madai haukuwa halali.

  Benson alimweleza mwakilishi wa OCD, Antony Mkwawa kuwa mkutano wao ni halali na una baraka zote kutoka kwa kamanda wa polisi wa wilaya, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Said Mwema.

  Baada ya kuelezwa hivyo waliondoka eneo hilo na kwenda kuahirisha mkutano wa mkuu wa wilaya.
  Kwa upande wake,kada wa Chadema, Ally Bananga aliwaeleza wakazi wa kijiji hicho kuwa chama hicho kimeanzisha mpango wa kuwa na serikali mbadala katika kila kijiji na kata,ili wananchi wenye kero zao waziwasilishe kwa uongozi huo na Chadema makao makuu itafute ufumbuzi.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 13. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [​IMG]
  [​IMG]
  Mon 20 Aug 1:25PM  [TABLE]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  [​IMG]
  RSS
  Home [​IMG] Habari [​IMG] Habari za Siasa [​IMG] Chadema yasambaratisha mkutano wa DC

  BOOKMARK THIS PAGE

  [​IMG]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"] Chadema yasambaratisha mkutano wa DC [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Monday, 20 August 2012 09:02 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  Venance George, Morogoro
  CHAMA cha Demokrasia na Maendendeleo (Chadema), kimevunja mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elius Tarimo baada ya mikutano hiyo kugongana, huku wa mkuu wa wilaya ukilazimika kuvunjika kutokana na kukosa watu.

  Tukio hilo lilitokea Kata ya Lumuma,Tarafa ya Kidete, wilayani humo wakati ratiba ya mkutano wa Chadema na mkutano wa mkuu wa wilaya wa kuhamasisha wananchi kushiriki sensa ilipogongana.

  Viongozi wa Chadema waliwasili katika kata hiyo saa 9.00 mchana na kuamua kufanya mkutano wao stendi ya mabasi,umbali wa mita takribani 500 kutoka sehemu ulipoandaliwa mkutano wa mkuu wa wilaya hiyo.

  Kufuatia hali hiyo,baadhi ya watu ambao walikataa kujitambulisha majina yao wakiwamo waliovalia sare za CCM, walianza kuzozana na Mkuu wa Operesheni wa Chadema, Singo Benson huku wakikitaka Chadema kusitisha mkutano wake ili kupisha mkuu wa wilaya.

  Saa moja baada ya Chadema kuanza mkutano wake,ujumbe wa mkuu wa wilaya uliwasili kwenye eneo la mkutano na Ofisa mtendaji wa kata hiyo,Deo Lisanga akiwa ameambatana na mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Wilaya (OCD), walipovamia mkutano huo na kutaka usitishwe kwa madai haukuwa halali.

  Benson alimweleza mwakilishi wa OCD, Antony Mkwawa kuwa mkutano wao ni halali na una baraka zote kutoka kwa kamanda wa polisi wa wilaya, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Said Mwema.

  Baada ya kuelezwa hivyo waliondoka eneo hilo na kwenda kuahirisha mkutano wa mkuu wa wilaya.
  Kwa upande wake,kada wa Chadema, Ally Bananga aliwaeleza wakazi wa kijiji hicho kuwa chama hicho kimeanzisha mpango wa kuwa na serikali mbadala katika kila kijiji na kata,ili wananchi wenye kero zao waziwasilishe kwa uongozi huo na Chadema makao makuu itafute ufumbuzi.
  Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [h=4]Add comment[/h]Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!
  Name (required)
  E-mail

  7000 symbols left
  Notify me of follow-up comments

  Send

  Cancel
  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]
  © 2007 - 2011 Mwananchi. All Rights Reserved. A product of Mwananchi Communications Ltd. ​

  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  Created by Affordable Webdesign company
   
 14. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Nukuu toka kwenye posti ya mdau only83

  Nimependa kuona wananchi wa vijijini na miji midogo wameanza kuelewa somo la M4C na kuwa CHADEMA ndiyo mtetezi wa kweli wa wananchi wote wa Tanzania.
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CDM na wananchi CCM na mafisadi/matajiri chukueni matatizo ya wananchi waacheni sisiem wakalie majungu na propoganda za kijinga.
   
 16. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa inaonesha wazi ni jinsi gani serikali ya CCM isivyo makini imechoka. Hivi kweli uongozi wa wilaya umeshindwa kupanga ratiba illi mikutano yote ifanyike bila kugongana? Honestly it is time for CCM to go.
   
 17. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mkuu, yaani uko mulemule, nakumbuka dhaifu alishushwa na helikopita uwanja wa nyamagana halafu wakampeleka pale sahara walipoandaa mkutano wao, watu walio kuwa pale nyakabungo hata hawakushituka, matokeo yake waliokuwa sahara ndo wakaanza kwenda nyakabungo baada ya dhaifu kuwasili. umesahau pia alikuwepo Diallo, Nape pamoja na wasanii wao kina bushoke, hafsa kazinja, wanaume tmk wote walidoda. halafu unakumbuka lile timbwili lililozuka baada ya wanachama waliokuwa wanatoka Nyakabungo kwa Wenje na wale wa Sahara kwa dhaifu kukutana pale pamba road?? F.F.U kama kawa walichafua hewa. duh!! kuna scenes zingine sio za kusahau katika maisha.
   
 18. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nanukuu 'KWA UPANDE WAKE 'KADA' WA CHADEMA Aly Bananga,hatuna makada,chadema tuna Kamanda ama MAKAMANDA
   
 19. S

  Sir Wily Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ya 2015 itakuwa ni zaidi ya russia revolution, chineese revlution na french revolution enzi hizooooo
   
Loading...