Ocean Road hospital - wagonjwa waomba madaktari bingwa na vifaa kuokoa maisha

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,174
Baadhi ya wagonjwa wa saratani waliolazwa katika hospitali ya Ocean road jijini Dar es salaam wamelalamikia ukosefu wa vifaa vya matibabu katika hospitali hiyo huku wakiitaka serikali kufanya tafiti mbalimbali kukabiliana na saratani.



video kwa hisani ya itvtanzania wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Waziri wa afya amesema hatuhitaji kuwa na madaktari bingwa. Hao wagonjwa hawakusikia?Hawana radio huko wodini?
Dont get mad at me. Mchukie waziri wa afya, wa CCM.
 
Waziri wa afya wamemueka mzanzibari mnategemea atakua na uchungu na watanganyika? Ye kwao zenji mambo safi ndo mana tunasemaga mambo yanayohusu watu wa bara yawe yanaangaliwa na mtanganyika mbona wabara hawapewi wizara huko zenji?
 
Ukosefu wa vifaa tiba kwa wagonjwa wa kansa ni death trap kwa kweli. The worst is yet to come!
 
Vifaa kama PCA pump ni muhimu sana kwa wagonjwa wa sarakani ku control maumivu. Kwa kuwa serikali yetu ni ombaomba, hizi pump CT na MRI machines ingekuwa next agenda ya kuombwa na Mh JK akienda Marekani
 
Back
Top Bottom