Ni kweli walitaka kufukuza wamasai, wameshafanya hivyo loliondo, kigamboni...Tuamke watz

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
katika watu wanaoendelea kusaini petition, watanzania ni wachache ama hakuna.

Watanzania tupo kimya kabisa, waoga, sijui kwa nini

uoga wetu ndo unaompa Mr. Dhaifu ujasiri.

Ofcourse Mr Dhaifu sio weak, watanzania ndo Dhaifu.

Mabilioni yameibwa, na ufisadi mwingi umefanywa ili watanzania tupo kimya.

Sasa wamasai waliondolewa loliondo, wakachomewa nyumba, wanawake wakabakwa, jeee hii ya serengeti ni uongo???

Serikali walikuwa na mpango huo, hasa yeye Dhaifu anavoingilia hii wizara.

Angalia hata Ngorongoro

Sasa watanzania, tusaini petition kwa wingi.

Hii hapa pinga ukandamizaji. Okoa watanzania wenzio maasai
 
mbona watu wa nje ndio wengi wanasign hii petition...kwani hapa si ndo panapotaka kujengwa barabara?nahisi kama kumuunga mkono dhaifu sababu binadamu ni bora kuliko wanyama...labda sijaelewa nifahamishwe
 
Na njama nzimaa mkuu wake ni Lowassa jinsi gani Wamasai wanavyonigwa huko maporini bila kuripotiwa popote ilimradi tu huyo Mwarabu apate kujizatiti himaya yake ndani ya taifa letu huku kampuni ya TATA nayo ikiendelea kumegewa 'NO MAN'S LAND' huko huko Umasaini.

WaTanzania tusipoamka leo, kesho tutakuta MAFISADI wakiosha vyombo nakuambieni.
 
Msilete mada za kijinga , wamasai ni kati ya watu wanaokataa kubadilika.
Wanataka kuishi maishaya kiporipori karne ya 21.

Na wanapovamia Wakiwa na mifugo kwa maelfu ,mashamba na ardhi ya wananchi wengine huko Handeni,Kilosa na kwingineko mbona hamyanyui midomo yenu.
 
Msilete mada za kijinga , wamasai ni kati ya watu wanaokataa kubadilika.
Wanataka kuishi maishaya kiporipori karne ya 21.

Na wanapovamia Wakiwa na mifugo kwa maelfu ,mashamba na ardhi ya wananchi wengine huko Handeni,Kilosa na kwingineko mbona hamyanyui midomo yenu.

DOMO lako kwenye avatar latosha kunyanyuka!!!!!!!!!!
 
Asilimia 70 ya watanzania ni bendera fuata upepo, hawajijui. NDO hivyo, we seek for just daily break. no future
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom