Chadema acheni kabisa usanii

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
4,916
2,452
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:

  1. kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
  2. kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
  3. kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
  4. kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
 
Ndo furaha ya kuumaliza mwezi au!????? BTW it ain't my type!
 
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
(i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
(ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhutiwa na umati wa watu.
(iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
(iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.

5393582.jpg
 
hata hii ni picha ya 2010!!kwi kwi kwi!
hebu mcheki kijana machachari akifungua maji ya bomba kwa mara ya kwanza kijijini ngobobo wilayani arumeru .miaka 50 ccm mmeshindwa kuleta maji wenzenu wakileta oohh ni hadaa kwa wananchi.

nsarree.jpg
 
Waongeze idadi ya wabunge nchi baadae sana ila nawapongeza kwa kujipa moyo na binaadam hatakiwi kukata tamaa iko cku atafanikiwa na magamba wameshatosha ila mbadala hajatokea
 
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
(i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
(ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhutiwa na umati wa watu.
(iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
(iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.

29deb72b-f011-6ef6.jpg

Hawa jamaa wa mangaka (nanyumbu) wakikuona!!!!!!!! hasira za wana ndago ni cha mtoto kwa hawa, wewe leta mzaha kwenye maisha ya watu!!!!!!
 
Sorry,kwenye jamvi hili tunahitaji matajiri wa mawazo na sio masikini wa mawazo kama uliyonayo
Je hizi TV zetu nazo zina-copy na paste kama unavyodhani na ***** wako.
Je fedha za makarani wa sensa nani anawadhulumu watanzania maskini CDM au CCM?
Tafakari kabla hujatoa masaburi yako hapa.
 
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
(i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
(ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhutiwa na umati wa watu.
(iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
(iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.

well said mkuu! naunga mkono hoja

mnalipwa pesa nyingi halafu mnaandika ujinga kama huu, ngoja waje wa'review thread zako uone wasipokutoa kwenye payroll yao. Subiri Nape apite aone unavyomdhalilisha.
 
Kumbe matukio yote ya M4C yaliyopota na yanayoendelea ni ya 2010. Basi tusubiri 2015 tutaona tathmini ya yote yanayojiri.
 
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
(i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
(ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
(iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
(iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
dalili za gonjwa la pepopunda ni kutunga hadithi na kuwahaminisha wenye akili na kutoa data za uongo picha zinaonyesha hardtop ambazo 2010 hazikuwepo! dalili hizi zinakuwa zinamashiko hasa unapotumia muda wako kuonyesha mawazo mgando yaliyojaa kichwani kwako sasa ndugu yangu una kila dalili ya pepopunda wahi hosipitari haraka! kabla haijamaliza kabisa akili ndogo iliyobaki ya kuoperate pc
 
naomba urejee kwenye Chartism movement iliyofanya/iliyounda chama cha Labour cha UK kushinda miaka yote hadi leo

maskini walichangia chama na ndio maana tangu kilivyoshinda uchaguzi wa miaka ya 1800 ni hadi mwaka juzi ndipo walipopoteza utawala

kazi njema
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom