Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Lema kavuliwa ubunge rasmi...

Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani!

Baada ya mahakama ya Arusha kumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha mh Lema, pia mahakama imemwambia sheria inamruhusu kugombea tena bila kipingamizi na ametakiwa kulipa gharama zote za kesi iliyoendeshwa, na LEMA kakubali hukumu na kufurahi kuwa mahakama imemruhusu kugombea na kasema atalipa hizo gharama za kesi.

SOURCE: WANDISHI WA HABARI WA MAGIC FM WALIOKUWA MAHAKAMANI ARUSHA.
 
Wadau mie kichwa chaniuma sababu sijui hao walalamikaji wametoa vielelezo gani kupinga ushindi wa kamanda Lema kwa anaye fahamu aweke hapa ushahidi wa magamba
 
Wadau mie kichwa chaniuma sababu sijui hao walalamikaji wametoa vielelezo gani kupinga ushindi wa kamanda Lema kwa anaye fahamu aweke hapa ushahidi wa magamba

Be patient, you will find each and every thing in the judgement that will be delivered today.
 
Mlalamikaji Mussa Mkanga hajui kusoma ila baada ya kesi utasikia ni mkuu wilaya ya Narung'ombe lindi,nchi ii bana ukiwafurahisha tu...
 
Ktk nchi kama tanzania ambayo hata mfumo wa kupeana ajira ni wa
kishkaji/kindugu usitarajie ufanisi kwenye utekelezaji wa shughuli zozote zile za kiutendaji ndani ya serikali.
Hii ni kutokana na namna watendaji wenyewe wanavyopatikana, mathalani daktari kapatikana kwa kutoa rushwa na si kwa kukidhi vigezo je ufanisi wa kazi yake atautoa wapi? Hakimu nae hivyo hivyo, unadhani atahukumu kesi kwa kuzingatia haki?

Si vizuri kuzungumzia kesi iliyo mahakamani ila tukae tusubiri kila kitu kitajieleza!
 
Mungu yu upande wa wenye haki, hata wakifanya ufisadi ktk hii kesi watapoteza muda kwani ccm haiwezi kushinda arusha mjini
 
Mashitaka dhidi ya Mh.Lema yalikuwa hivi:

Alimkashifu MH.Batilda Burian kwenye Kampeni zake eti Batilda ana mimba ya lowassa, Batilda ni mdini, Batilda ameolewa zanzibar kwahiyo hatakuwa karibu na wakazi wa Arusha na vile vile katika jamii za kimasai,kichagga au kimeru hawawezi kuongoza na mwanamke..!

Sasa fananisha hayo maneno juu na matutsi ya Lusinde..,

Lakini cha ajabu,..mashahidi dhidi ya lema hawalikuwa wakijichanganya kwenye kesi na kukosa ushahidi wa video au wala sauti, na vile vile mh.batilda burian wala mume wake au lowassa hawakusilisha mashtaka yeyote polisi kama wamekashfiwa wala kufungua mashtaka dhidi ya lema..!

Na ikasemekana waliomfungulia kesi wana chuki binafsi na wivu dhidi ya mh.lema
 
Ni ufujaji wa rasilimali za taifa kama mahakama zetu zitaendekezwa kusikiliza kesi za kipuuzi kama hizi huku mambo makubwa yakiachwa hivihivi!
 
Lema amepigwa chini. Reasoning ya jaji inaonyesha alihongwa. The way forward ni kwenda Court of Appeal. Hata hivyo ccm wahangaika bure maana hata uchaguzi ukirudiwa leo watapigaragazwa kwa mbali
 
Ni taarifa rasmi ambayo nimerushiwa na Crashwise ambaye yuko mahakamani!
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini mheshimiwa Godbless Lema wa CHADEMA avuliwa ubunge na mahakama asubuhi hii ya leo lakini mpaka sasa hakuna uvunjifu wa amani hapa town na wamesema kuwa hawakati rufaa wanasubiria uchaguzi mwingine,,ntawapa updates zaid
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom