Tuwe na watendaji, tufute mfumo wa siasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwe na watendaji, tufute mfumo wa siasa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjenda Chilo, Aug 21, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kama siku ningekuja kuwa na mamlaka makuu ningependekeza kufutwa kabisa kwa mfumo huu wa siasa unaoitwa demokrasia na badala yake kazi checks na balance ningepeleka mahakamani na vyombo vya siri vya dola vitakavyoundwa kwa trasparency ya hali ya juu. Mawazo yangu haya ya kibwege yametokana na zigo kubwa la gharama tunalojitwisha la hii kitu tunaita demokrasia. Ni wanasiasa hawa ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana wanaotulostisha, hela tunayoitumia kama tungekuwa hatuna siasa basi tungejenga shule, afya, tungesomesha wataalam kibao. Hebu fikiria gharama za uchaguzi mfano 2010 tumetoa mahela kumchagua Rostam, juzi tukamchagua Dr, leo kapigwa chini kesho tunachagua mwingine. Mfano chukua hela waliyotumia Cdm, ccm na vyama vingine pale Igunga plus zile za tume ya uchaguzi, je unafikiri hizo hela zingetumika Igunga kwa maendeleo hivi tunavyoongea leo Igunga si ingekuwa Nice ndogo? Uselfish wa kusema mbunge wangu wkt nchi ni yetu sote na mara kutunga sheria wkt 99% ni rubber stamping lazima tuendelee kuwa maskini ndani ya viscious cycle. Mawazo ya kutafutia uthingithi, kwi kwi kwi
   
Loading...