Mgombea wa Ubunge CDM 2015 SHINYANGA MJINI ni Rachel Mashishanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa Ubunge CDM 2015 SHINYANGA MJINI ni Rachel Mashishanga

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Aug 16, 2012.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Dada yetu Rachel salaam
  Yawezekana hujajitambua kuwa wakazi wa shinyanga wanahitaji service yako kama mbunge kwa kipindi kijacho 2015-2020.Wakazi wametafakari na kugundua kipaji chako na umakini wako, taarifa hizi zichukue kwa uzito wa pekee kama alivyokubali Dr.Slaa mwaka 2010 baada ya watanzania kuwekeza kwake kwa presidential seat.Karibu mjengo kwa tiketi ya CDM kwa kura nyingi.Pia tumia muda huu baada ya bunge kwisha kajipime kukubalika kwako.Karibu shy town
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Nawapa pole, naona hapo Shinyanga mnaota ndoto za mchana, sijaona tija yoyote ya huyu Rachel tangu aingie Bungeni.

  Halima Mdee atabaki kuwa hazina ya Chadema kwa sababu aling'ara bungeni akiwa Mbunge wa viti Maalum na ufanisi ndio uliomfanya aweze kuwabwaga kina Mbatia jimboni Kawe.
  Mimi binafsi kama Matola siko tayari kuwapigia kura Wabunge mizigo kama huyu Rachel.
   
 3. D

  Dumisha Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Am sure huyo mleta mada atakua ametumwa tuu!!kwani amekwambia anataka kugombea hilo jimbo?kwanza ana vigezo gani viti maalaum??wakti hamna analofanya??naungana na matola Halima Mdee ni hazina kubwa kwa CDM labda awaweke kitimoto viti maalum wengine ili awape maujuzi kidogo leticia anajitahidi ingawa bado hana hoja nzito.
   
 4. S

  Sipendi Ubepari JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi yule Mr. Kashinje Masanja anayejitangaza fb kuwa mbunge mtarajiwa wa SHY town?.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  2015 ubunge siyo dili ni shughuli kwenda mbele, natabiri wengi kuukimbia ubunge kwani hautakuwa na maslahi tena. Utakuwa ni mzigo kwa wapenda ufanisi.
   
 6. m

  mamajack JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  the issue sio kuwa cdm,ila ni jinsi unavyowajibika.jamani mh.mashishanga,fanyakazi kwa vitendo na sio kwa manieno,hujatumika ipasavyo kwa wananchi wa shy pamoja na kwamba uliaminiwa na cdm na kupewa nafasi hiyo.
  unasema unafanya kazi na wamama wa shy,mbona hatuoni matokeo ya hizo kazi.????
  tafadhali naamin cdm inawatu makini wengi sana kwa sasa,usipobadilika basi itabaki historia.

  ni hayo tu.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Hana lolote huyu Rachael Mashishanga, kumsimamisha huyu jimboni ni kuwasaidia CCM kushinda jimbo kirahisi, Mbunge wa viti maalum huna majukumu yoyote ya kijimbo ni kwa nini kipindi cha Bunge usingnare bungeni angalau ujae midomoni mwa watu?

  Kwanza hivi viti maalum vifutwe kabisa maana mpaka sasa vimewezesha wanawake wachache sana kuwa na gutts za kusimama majimboni, kikubwa wanachokimudu wao ni kushindana kuvaa micheni ya dhahabu na mitandio. Pumbavu kabisa.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Sikiliza Mkuu huyo Rachel hasiwadanganye, yeye alishinda kura za maoni Chadema jimbo la Segerea mpendazoe alishika nafasi ya pili, sas Chadema vikao vya maamuzi wakatumia busara ni nani kati anauzika kirahisi kwa Wananchi.

  Ndipo ikatumika busara ya kumsimamisha Fred Mpendazoe na Rachael akaahidiwa kupewa ubunge wa dezo Chadema kama itapata nafasi nyingi za viti maalum na ndivyo ilivyotokea na ndio maana leo hii ni Mbunge.
   
 9. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kashinje Masanja ni jimbo la kishapu
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Rachel Mashishanga ni jembe...ila yule jamaa wa shinysngs wa ccm ni kigagula usipime!
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,882
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Hana ujembe wowote ni mzigo tu ndani ya bunge hana hoja, nashindwa kumtofautisha na viti maalumu wa magamba
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Namfahamu vizuri sana huyo dada ,kama hana uwezo aliwezaje kumshinda mwanasiasa wa siku nyingi mpendazoe kura za maoni?ambae pamoja na yote mpendazoe ni bingwa wakucheza rafu za kisiasa,alishindwaje na yule dada?kweli chadema demokrasia zero!rahel anajulikana ni mpambanaji wa chama wa siku nyingi na ndio maana aliweza kuaminiwa na wanasegerea,ubunge wa dezo uko wapi hapo?kama huwajui waliopewa ubunge wa dezo sema uambiwe,chuki binafsi hazifai.naungana na wanashinyanga kusema kwamba rahel ni mwanamke mwenye uthubutu na anaweza.
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Matola nawasiwasi kama huwa unaangalia bunge na kama huwa unaangalia bunge basi utakuwa unamatatizo binafsi Mh rachel mashishanga ndie mbunge pekee wa cdm viti maalum ambae akisimama bungeni anajenga hoja sio matusi au kejeli.
  lakini naamini kuna matusi ulitegemea kutoka kwa mashishanga akiwa bungeni sasa umeyakosa pole sana matola.
   
 14. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Matola acha matusi. Rachel ni jembe ambalo huwa halikurupuki katika hoja zake nimegundua kitu kinachomsumbua rachel ni usukuma wake na cdm wanataka wachaga tu ndio waonekane majembe!vp matola unaendelea na uongozi segerea?
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Rachel mashishanga anahoja sana bungeni na wanashinyanga tunamwitaji na tunamwamini na 2015 tutampa ubunge na wala hafai kuwa mbunge wa viti maalum kwani anafaa kuwa mbunge wa jimbo.wabunge wanaofaa kuwa viti maalum ni kama grace kiwelu,suzan lyimo,mukya na wakaskazini wengine.
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kuna watu wanachukua form kugombea, kumbe viti vishatolewa ahadi kwa insiders!!! Kweli demokrasia ngumu...
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mbona kazi anafanya sana hapa shy ama unataka aje kwako akuchotee maji bombani na kukuletea kwako ndio utaona kazi anayofanya au unataka aropoke bungeni mambo ya uongo ndio umuone anafaa.acheni wivu nyinyi
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Matola kwani waliomchagua rachel agombee ubunge segerea hawakuwa na busara?
  Na nikigezo gani kilichokuwa kinamtambulisha mtu kama anakubalika na wananchi zaidi ya kura za maoni ambazo mashishanga alishinda?
  Hivi mpendazoe na rachel nani ni jembe na nani anauzika?
  Hivi unajua ni jinsi gani mpendazoe ni swahiba wa slaa na ndo alie mpa agombee kwa sababu walikuwa nae ccm?
   
 19. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Matola wewe ni mnafiki sana na unanjaa sana unazani hatujui kwamba uliuza kata ya kiwalani kwa njaa zako!
  Matola ni mnafiki sana maana mwanzoni ulishobokea ujio wa mpendazoe segerea kwa sababu alikuwa na viposho.kwa sasa mpendazoe kaishiwa umemuhama na pia pole sana kwa kuumbuka na mpendazoe wenu.
  Mh mashishanga njoo huku shinyanga kwa wananzengo wenzako achana na hao wajasiliamali wa kisiasa.
  go gooooooooooooMH.Rachel mashishanga.
   
 20. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  unaweza kumlinganisha rachel na mbunge wowote wa viti maalum wa CDM anaetokea kaskazini?
  huyu dada sisi tunayemfahamu tunaujua uwezo wake...mwacheni aje kutuwakilisha kama akiitika wito huo
   
Loading...