Aliyekuwa mgombea ubunge Igunga kupitia CUF ajiondoa chamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyekuwa mgombea ubunge Igunga kupitia CUF ajiondoa chamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chopa boy, Mar 2, 2012.

 1. c

  chopa boy Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtatiro tuambie na huyu umeshamfukuza siku nyingi. Cuf imeshakufa tungoje mazishi yake.
   
 2. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  pwaaa!
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  HIVI HII CCM B BADo IPO????
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Baadaye ataishia kusema alishafukuza wote, kabaki yeye, lipumba, maalim, jusa ndo cuf full mkoko.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kuizi cuf rasmi ni uchaguzi mkuu ujao!
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni wakati wa cuf kukubaliana na hali alisi na kujipanga upya vipi lipumba nae kaitelekeza?
   
 7. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  R.i.p cuf
   
 8. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haya mambo mbona yanatokea kwa kasi sana CUF. Mara Zanzibar, Tanga, Temeke, Tarime, Igunga ... (na hii ni ndani ya kipindi cha takribani miezi miwili). Upepo huu mwisho wake utakuwa nini?
   
 9. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sijui profesa hajui kutumia mtandao sijawahi kuona maoni yake popote hata baruwa za kina mohamedi rashid hajajibu labda kajitoa kidizainnasikia yupo usa
   
 10. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  dhambi ya kuwatenga wengine kwa dini zao , uzanzibara na uzanzibari wao ndiyo sasa inawagharimu cuf. sasa wameanza kutengana wenyewe wale wa rashid na wale wa maalim seif. Na dabo tutaona mengi mwaka huu.
   
 11. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  CUF iko kwenye sanda...shimo la futi sita tayari limeshachimbwa bado kuzikwa tu...!
   
 12. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maaaaalim MTATILO, Njoo ubwabwaje hapa uone. Si Taarifa ya Igunga kwanza uliikimbizia hapa? Wakati ule ulikuwa kihelehele kweli. Nilipoweka taarifa ya wanachama wa Kafu kuwafanyia vurugu wana Chademe uliwahi sana kujibu. Njoo basi utuondolee kiwingu cha dhana humu janvini.
  Au na wewe unaungana na akina Nape kuzikana aidii zao? Siasa ya moto kama unameza moto huku ukijidanganya kuwa unameza barafu.
  Tatizo lako mtatilo mbishi. Na ukitoka hapo, hakika umechacha kisiassa na ushawishi wote kwisha. Wako wapi wapemba wabishi kukutetea, wakow wapi wakina MS? wamekuacha unakwenda na KAVU lako. mwe?
   
 13. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Walikataa kujianika Arusha kwa sababu hiyo aibu ingekuwa ya mwaka kule..na sijui mtaji wao kwa tanzania bara wanautegemea lindi tuuu mfano ikiwa ya kuwa?? ila kweli Sasa nadhani baada ya Chadema, NCCR, TLP , CCM na KAFU ya mwisho... alafu niwajuze..neno KAFU kwa huku unguja ni KIFO..mkue kabisaa....Kwa mfano...Jamani musiki Mbowe Kafu.!! kwani ilikuwa jaje.. Ee bwana presha imchuku kabisa..kafu jana usiku...
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  haka kachama CUF bana kwisha habari yake, ila nimependa namna Mtatiro alivyotumika kuiua CUF , na bado hawajashtuka tu, jamaa anaendelea kula perdiem dah,
   
 15. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KWA UFASAHA ZAIDI:
  Aliyekuwa mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF uchaguzi mdogo jimbo la Igunga Sept.2011 Mhe. Mahona leo hii pamoja na waliokuwa wagombea Udiwani wilaya ya Ilala na Kiongozi Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi maarufu kama Blue Guard Mhe. Wandwi wamejitoa rasmi katika chama hicho kwa kile kinachoaminika ni muendelezo wa wanachama wa CUF kutimka baada ya kuchoshwa na siasa za majitaka kutoka kwa viongozi wao.
  Inaaminika wanachama hao walojitoa moja kwa moja watajiunga na chama kipya kilichoomba usajili wa muda majuzi tu cha ADC.
  Kwa habari zaidi tupia jicho star tv jioni ya leo kwny taarifa ya habari.
  Naomba kuwasilisha.
   
 16. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana,imeanza kuwatafuna wenyewe! Genius J.K.Nyerere hakukosea
   
 17. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Au huenda nae keshajitoa kidizin. Mtatiro sijui atatuambia walishamfukuzaga kabla hajakwenda US! Sande Charles ana mambo!
   
 18. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Sjajua tatizo ni typing errors au tatizo ni coordination ya ubongo..., yani kiukweli sijaelewa hata kidogo ulichoandika..,
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mahona nae kajitoa?
   
 20. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kiongozi mmoja wa c.u.f
  aliwahi kusema kuwa
  kuna vyama vitakuja
  kama uyoga na vitakufa
  kama uyoga.hakuishia
  hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
  kama mti mrefu ambao
  mizizi yake imejichimbia
  mbalii chini,hivyo upepo
  unaweza kuyumbisha tu
  mti huwu na sikuung'owa.sasa
  utaona kuwa kuna watu
  wanatamani waone c.u.f
  inakufa na hawo
  wanajiita wapinzani
  hizo ni ndoto za alinacha,watoke
  watakaotoka waliobaki
  wataimarisha chama
  jamhuri ya mungano ni
  baina ya nchi mbili
  tanganyika na zanzibar tayari c.u.f iko ndani ya
  serikali katika upande
  mmoja wa jamhuri
  ni hatuwa nzuri.
   
Loading...