Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yamekuwa yakisemwa hapa kwa muda mrefu lakini baadhi ya watu wakawa wanapinga. Katika ripoti yake CAG amedhibitisha kuwa kutolewa kwa fedha pungufu ya bajeti iliyoidhinishwa kumesababisha matatizo...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekuwa na muda mrefu sana ninafuatilia mambo ya siasa na nimegundua ni mchezo mchafu sana. Mchezo huu unahatarisha maisha si ya wanasiasa bali ya wananchi wasio na hatia. Nimekua nikifikiria...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama shabaha ya maendeleo ni kuongeza uhuru na maisha bora ya wananchi,shabaha hiyo haiwezi kutimizwa kwa nguvu.Iko methali inayoeleza ukweli wa jambo hili.Punda unaweza kumlazimisha kwenda...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Serikali ya CCM ni wazi sasa imepoteza kuungwa mkono na wananchi, migogoro inayoendelea na waandikishaji wa sensa na serikali itatia dosari zoezi hili muhimu kwa nchi yetu. Vijana wa Chadema nchi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenyekiti naomba ufafanuzi,katika kuandikisha watu watakaopoata vitambulisho vya taifa Dar na nchini kote,tumeambiwa ni wenye miaka 18 na zaidi.sasa najiuliza kuwa wenye miaka 17 kuteremka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hukumu ya leo kuhusu matokeo ya uchaguzi Igunga imeibua vitu kadhaa kwa vyama vya siasa,hasa chadema kujifunza. Wamekuwa wepesi sana siku zote kulalamika mahakama haitendi haki na kuwa mhimili...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
By Collins Mtika | NyasaTimes | August 20, 2012 Malawi's Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Ephraim Mganda Chiume has warned experts from Malawi and Tanzania to avoid...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Jumatano, Agosti 22, 2012 06:02 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam HATIMAYE Serikali imeamua kuingilia kati na kutaka kupata taarifa kamili kuhusu mpango wa Mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi nashangazwa na kitendo cha serikali inayoongozwa na CCM kutokutenda haki kwa vyombo vya habari kwa usawa. Nina maanisha kitendo cha kulifungia gazeti la Mwanahalisi kwa kukosa weledi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda sasa Chama Cha mapinduzi kimekuwa kikitumia mgongo wa udini ili kusambalatisha kwa maksudi vyama vinavyopata umaarufu hapa Tanzania. Mfano miaka kadhaa iliyopita CUF ilipata umaarufu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
1. Sensa irudiwe, maana imekuwa na migogoro mingi kiasi cha kufanya matokeo yake yasiaminike 2. Zoezi Vitambulisho vya taifa lirudiwe, limeingizwa kisiasa zaidi. Vinginevyo vitu hivi vitawapa...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
ECONOMISTS have projected further significant drop in Tanzania's headline year-on-year inflation rate that slowed to 15.7 per cent in July from 17.4 per cent recorded in June. "If you look at...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Tanzania Investment Centre (TIC) has said that the country's cement deficit has now hit to over one million tons since 2011. Speaking to East African Business Week last week during the site tour...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Zanzibar current account has improved to a surplus of $11.3m in the year ending June 2012, compared to a deficit of $19.8m recorded in the corresponding period in 2011. According to...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Nimehudhuria kampeni zote za uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki mpaka siku ya kupiga kura na kutangazwa matokeo. Hongera kwa makamanda wa CDM hasa John Mrema na Vincent Nyerere kwa kutuongoza...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Dar Es Salamm, Tanzania — Tanzania and Malawi have no financial muscle to embark on a fully fledged war. Apparently, donor-funded economies are struggling not only with recurrent budget...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Najaribu kujiuliza hili swali kama kweli ccm wanaweza wakakubali kwenda kwenye uchaguzi mpya pale igunga na kuacha kukata rufaa.sijui wenzangu mnaona hili linawezekana?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka Watanzania kukiweka kando Chama cha Mapinduzi (CCM) na badala yake wakichague CHADEMA kwa masharti...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Kitendo cha mahakama kuu kanda ya Tabora kutoa hukumu ya kutengua ushindi wa ubunge - Dr. kafumu jana kimeonyesha tabia mbaya ya CCM kuiba kura katika kushinda kwake. Binafsi naamini hata CDM...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Habari za kitambo. Jana Timu ya Operesheni Sangara-Movement for Change, chini ya uongozi wa Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed, Dkt. Slaa, Naibu Katibu Zanzibar, Yusuf Musa...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom