Dalaly Kafumu amekalia kuti kavu Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalaly Kafumu amekalia kuti kavu Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bundewe, Mar 31, 2012.

 1. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbunge wa Igunga aliyeingia kwa uchaguzi mdogo uliofanyika mwaka jana Dr. Dalaly Kafumu imeelezwa kuwa amekalia kuti kavu baada ya makamanda kadhaa wa Chadema kufungua kesi ya kupinga ushindi wake. Imeelezwa kwamba kilichopelekea kufungua kesi hiyo ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za uchaguzi ikiwemo waziri wa ujenzi (Magufuli) kutumia ofisi ya serikali kisiasa kwa kuahidi kujenga barabara na daraja kushawishi achaguliwe Dalaly, Kada wa ccm (Rage) kutishia kwa bastola na polisi kutochukua hatua zozote, Daftari la wapiga kura kuchakachuliwa na kuonesha kwamba zaidi ya makada 2000 wa cdm kuonekana wamefariki huku wakiwa hai na wenye afya njema (baadhi yao ndo hao waliofungua kesi).

  Source: High Court Registry Tabora.
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CCM ni wezi professional na wizi wao sasa umeoitiliza ni wa macho kabisa hivi hivi mtu unaona.

  Na huyi mke wake tume ngoja awe fair awe anagawa kwa wote na si kwa magamba pekeyao ni hapo timbwiki litakapotokea.
   
 3. b

  bohha Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasiwasi wangu mahakama itawalinda ila haki hupiganiwa makamanda msichoke tutawaombea.
   
 4. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ibariki Tanzania!
   
 5. k

  kiomboi JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  kesi ya nyani anapelekewa ngedere! no value added
   
 6. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Huyu mb huwa namuona mlandizi akinunua mahindi ya kuchoma na kuelekea kwenye mashamba yake huko vikuruti. Wana igunga hapa wamelamba galasa.
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kafumu AFUMULIWE.
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Igunga nilikuwepo kwenye uchaguzi mdogo na nilishuhudia mengi ya uvunjwaji wa kanuni za uchaguzi kwa vigogo wa ccm but my take ni kwamba mahakam haitaweza kutengua ushindi ule kwani ipo kutumika kisiasa so cha kufanya ni kuelekeza nguvu zaidi ktk kusambaza elimu ya uraia kwa wananchi kwani am sure CDM itachukua jimbo hilo 2015,
  MUNGU IBARIKI CHADEMA.
   
 9. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upozaji wa muda na pesa!
   
 10. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kafumu afumuliwe, magamba wenzake walimuingiza madarakani kw hila.
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  nchi omekua ya kesi tu....kama wote ni wapare
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hata hivyo daraja la Mbutu ni mtego mbaya waliojitega 2015.
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Tuheshimiane Janjaweed!
   
 14. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Sio wamelamba bali wamelambishwa, lakin hata hivo hayo walishayazowea tangu enzi za LA
   
 15. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  with our courts anything is possible!
   
 16. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  siku moja haki itakuja !
  siku iyo inakuja.
   
 17. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha haaaaaa! mtu anauza ng'ombe kushinda kesi ya kuibiwa mbuzi
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Sina imani na mahakama zetu yanapo kuja mambo kama haya
   
 19. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ni kaiba mahindi mnaenda kumshitaki kwa ngedere
   
 20. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mnyonge mnyongeni na kaki yake mpeni.
   
Loading...