Baada ya kesi ya Igunga: Spidi ya kesi zingine itategemea nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kesi ya Igunga: Spidi ya kesi zingine itategemea nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MchunguZI, Aug 21, 2012.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kafumu ni chali na chini. Hoi CCM na CDM hoyee!

  Najiuliza jinsi mahakama zinavyofanya kazi. Baada ya uchaguzi wa 2010, kesi zilizofunguliwa ni zaidi ya 100! Hii kesi ya Kafumu ni baada ya uchaguzi mdogo wa Igunga. Hivi karibuni.

  Najiuliza imekuwaje kesi hii ikasikilizwa kwa haraka kiasi hiki wakati kesi zingine zikiwa hata hazitajwi. Hii ya kafumu ilianza November 2011 leo hii August it's over!

  Serikali inasimamiwa na Bunge, Muhimili huu unaoitwa mahakama, nani anaushikisha adabu ili utende haki? Hawa majaji tusije hangaika nao kumbe wako sponsored. Lengo la spidi hii ilikuwa nini? Au nazo ni mbinu za kisiasa? CCM style.
   
Loading...