Maoni;Hawa hawana nafasi katiba mpya kwa maslahi ya watanzania

Kapo Jr

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
996
280
Wana Jf tukumbuke PM majibu yake kwa mbunge wa ilemela kuhusu DC wao kutumia u-DC kwa maslahi ya chama(ccm)wakati analipwa kwa kodi za wananchi,je ww unashauri nn hapa jamvini ili kujenga taifa letu-mm sioni umuhmu wa dc+rc-wakurugenzi ndo watendaji wakuu japo wasiteuliwe bali zitangazwe zabuni,nawasilisha kwenu jf
 
My take..shime wtz tutoe maoni ya kuwakataa madc na rc cuz wako kichama zaidi,tuepuke ushabiki kuilinda tz ye2
 
Back
Top Bottom