CHADEMA yavuna maelfu ya wanachama katika majimbo sita tu ya Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yavuna maelfu ya wanachama katika majimbo sita tu ya Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JBK, Aug 20, 2012.

 1. J

  JBK Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  M4C imeisambaratisha kabisa ccm hapa moro baada ya kuvuna wanachama zaidi ya elfu 30 na zaidi ya wengine elfu 7 kurudisha kadi za vyama vingine kadi na wakati huohuo wananchi katika majimbo hayo 6 wakiwa wametoa harambehe ya takribani millioni 17 source itv taarifa ya habari
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Umeshamaliza??
   
 3. J

  JBK Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ongeza na wewe lakini taarifa ndo hiyo
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hizi habari mtamfanya Nape afe kwa presha
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Tukuaminije sasa?? Weka basi hata picha. Taarifa yako inafurahisha kusoma, ila ungeweza kuiboresha zaidi. Gonga hapa uone evidence za wenzako walikuwa huko toka siku ya kwanza
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,494
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Hii safi sana! Kwa UWT mnaoapa mitaani kuwa ccm itadumu daima jiandaeni kuua watu 2015!
   
 7. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa uongo huu hivi mbowe anawalipa?
   
 8. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Kwavile unalipwa na nape hivyo Unafikiri kila mtu analipwa ... low and poor thinking
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante Mungu mfalme wangu.....
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hivi nape bado anawaita oil chafu wanao hama ccm?
   
 11. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  mungu saidia watanzania wafunguke tupone kutoka kwa hili joka ccm. CHADEMA mungu awasimamie huko moro kila mtakapokanya mungu awalinde.
   
 12. S

  Sipendi Ubepari JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haki ya Mungu, hawa UWT tutawaua m1 baada ya mwingine iwapo tu watamdhuru kamanda m1 tu. Maana tunawafahamu vema hawa
   
 13. S

  Sipendi Ubepari JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C inamkono wa Mungu ndani yake. Sauti umma ni sauti ya Mungu. Asante Mungu mwenyezi kwa kuendelea kuibariki CDM uliyowaletea waTZ wakombolewe.
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Nimegonga na kugonga lakini sioni kitu! Hebu weka ulichokusudia kuweka kwenye thread yako.
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  hawa wakikusikia unavyokejeli lazima uzae nao!!!!
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mungu mfalme amefanya nini? wame elimishwa umuhimu wa kupiga kura na kutunza vitambulisho?tusitafute majibu ya haraka sfari bado sana!
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unasema source ITV?
   
 18. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Mtu mwenyewe n i chuki; kazi kweli kweli.
   
 19. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  muda mwingine mtu mzima aking'atwa na siafu sehemu za siri mbele ya watoto unavumilia kisa aibu. Ndivyo wafanyavyo kina Nape. Twende mbele.
   
 20. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mbona wenzako wamefungua?? Tuliza akili, acha haraka. Kwa kukusaidia, fungua hii link hapa itakusaidia siku zijazo
   
Loading...