Ingependezaje kama CDM watachukua ushauri huu; Kumualika mpiganaji Mwl.Kashindye aliyefanya kazi ya ziada kuhakikisha ushahidi wote muhimu unawakilishwa mahakamani na pia kuhakikisha mashahidi...
Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, amemsimamisha kazi mmoja wa watoto wake wa kiume kutoka ngazi ya unaibu gavana wa benki kuu ya nchi hiyo kwa kushindwa kuorodhesha mali zake katika tume...
Habari kutoka Mwanza ni kuwa walimu na wadau wengine wa sensa waliokuwa wakiendelea na semina ktk ukumbi wa shule za sekondari Mwanza na Pamba wameingia mtaani na kuandamana hadi kwa mkuu wa...
CHADEMA yailiza CCM Igunga
• Rais Mkapa, Dk. Magufuli, Wasira wamponza Kafumu
na Ramadhani Siwayombe na Irene Mark
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo jingine baada ya...
Hatimaye ccm wamempitisha Musa Kingu kupeperusha bendera yao katika uchaguzi mdogo wa kata ya mtibwa baada ya diwani wa kata hiyo kutoka cdm kufariki dunia. Walioangushwa ni pamoja na Salumu...
Viongozi mbali mbali wa CCM tawi la UK wameaanza kuhaha baada ya kuona spidi ya Chadema imeshika kasi UK. inasemekana CCM kuwa makao makuu wamewaagiza waandae nyama choma / berbercue siku ya...
huduma zetu na wawekezaji zinaendana na ubora na thamani tunayopewa ktk miradi ya maendeleo au kujuana kwingi halafu kazi haziendi?
tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu kwa maoni iwe kwa...
Nianze kwa kutoa shukrani kwa mhimili wa utoaji haki nchini "The Judiciary" kwa kuwahuisha watanzani wanyonge jana kama chombo hiki kitajikita kwenye misingi yake kama "Intergrity, Impartiality...
LILE sakata la ardhi lililokuwa likikikabili Kitongoji cha Kinyenze, huenda sasa likafikia tamati baada ya mwekezaji wa awali kuondoka na kuja mwekezaji mpya na kutaka suluhu na wananchi...
Ajira ni tatizo kubwa linaloikabili dunia na nchi yetu pia!! Viongozi mbali mbali wakiwemo wabunge na viongozi wengineo kadhaa walisikika wakikiri ya kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu...
KUGAWANYIKA kwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza na kuundwa kwa Halmashauri mpya ya Wilaya ya Ilemela kumekirejeshea Chama Cha Mapinduzi (CCM) matumaini ya kuongoza tena jiji hilo, huku Chama cha...
NANI kawaambia kuwa Tanzania ni nchi masikini, na tangu lini nchi iliyosheheni rasilimali za kila aina ikawa masikini?
Huu ni uvumi tu unaotumiwa na mabingwa wa wizi ili watu wanyonge wazidi...
Hakuna asiyejua nini kilitokea huko Igunga kwani pamoja na vurugu nyingine nyingi za hatari,kada wa chama kinachokuja kwa kasi katika siasa za Tanzania aliuwawa.
Pamoja nafuraha ya wapenda haki...
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu Posts na Comments ninazokutana nazo kwenye mitandao ya jamii, zinahusiana na siasa za Tanzania. Mitandao hiyo ni kama hii Jf, twitter, facebook...
Jumatano, Agosti 22, 2012 06:03 Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepuuza tuhuma...
I salute everyone here. Maxelo Mello hongera kwa kujibu maswali vizuri kwenye interview.
Sensa ndio hiyo imekaribia na itadumu kwa siku saba. Kwa kuwa haizekani kujua lini msensa atapitia kwako...
Si mwingine bali ni ndugu Marco Mtunga amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi,Big up Mgimwa kwa kufanya haya maamuzi maana Cheyo aliongea sana bungeni kuhusu hii bodi atlast jamaa ameambiwa akae...
MADHUMUNI YA CCM
Malengo na Madhumuni ya CCM yatakuwa yafuatayo:-
1) Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa Tanzania Bara na Zanzibar ili kuunda na kushika Serikali Kuu...
Kauli ya Dk. Slaa
Baada ya kutenguliwa kwa Ubunge wa Dk. Kafumu, Dk. Slaa alisema hukumu hiyo ni ya kihistoria kwa Tanzania na kwamba chama chake kimeweka historia nyingine katika siasa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.