CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Chiume, Apr 11, 2012.

 1. C

  Chiume Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimehudhuria kampeni zote za uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki mpaka siku ya kupiga kura na kutangazwa matokeo. Hongera kwa makamanda wa CDM hasa John Mrema na Vincent Nyerere kwa kutuongoza vyema kushinda ARM.

  Pamoja na pongezi lakini nimesikitihswa na mkanda mmoja wa video unaoonyesha jinsi viongozi wa CDM walivykuwa nao kumbe wakiporomosha matusi ya ajabu kwa viongozi wa CCM.

  Mfano kwenye video hizo kuna mahali wanasema......CCM INATUMIA NYARA ZA SERIKALI KUFANYIA KAMPENI, KWANI ETI WASIRA ANAFANANA NA NYANI AU SOKWE HIVYO NI NYARA YA SERIKALI. Wanaendelea kusema ETI RAIS AMBAYE WALIKWENDA IKULU KUMTAMBUA BAADA YA KUMKATAA KWA MUDA MREFU.. ANAPAKA PODA TU NA HIYO NDO KAZI YAKE....

  SASA KUNA TOFAUTI GANI KATI YA MATUSI HAYA NA YALE YA LUSINDE NA WENZAKE? LAZIMA CDM NA VIONGOZI WAKE TUJITOFAUTISHE ILI TUAMINIKE BANAAA!!!
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Weka hiyo video mkuu
   
 3. P

  Praff Senior Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2b wise is a hard game!
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu mapenzi ni upofu ngoja wana Chadema waje wakushambulie watasema sio matusi.
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Anaongea kama zuzuu tuu, anataka tumwamini kwa maneno yake ya kuokota!
   
 6. I

  Imma01 Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Video tafadhali ndugu mtoa mada
   
 7. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chiume kwanini uandikie mate weka video tuone mbona ya lusinde iliwekwa na matusi kweli tumeyasikia??
   
 8. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naona mtoa mada ameamua kumtukana Wassira
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,029
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Ushahidi tafadhari vinginevyo ni porojo za kwenye gahawa.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  lusinde alikuwa akijibu mapigo-mukama
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sema tu kwamba Halima Mdee ndiye aliye sema haya. Anyway, naamini kwamba aliteleza tu, si sawa na Lusinde aliyepanda jukwaani akiwa amedhamiria kabisa kwenda kuitukana CHADEMA.
  Nafikrii ni katika video hii. Ila ni ndefu na ukitaka kuisikia habari ya wasira unatakiwa usikilize hadi karibu katikati if not mwishoni.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa sijui kama anaelewa haya mambo anayoandika humu
  aweke ushahidi wa kutosha ili mambo yaeleweke kwamba anataka kutuambia nini?
   
 13. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Hili la kutumia nyara za serikali kama lilikuwa ndyi jibu dhidi ya ujinga wa Wassira ilikuwa SSSSSSSSSSASFI SSSSSSSSANA!!! .......

  Hata kama umetunga umetupa kitu kizuri bwana asante isalimie nyara ya serikali Wassira.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tunaomba na video ya MTEI "Tume katiba imejaa Waislamu" teh teh teh. Hivi hii ni kauli ya Mtei au ya Chama?
   
 15. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  hahahahahahaha nimeshindwa kujizuia...... nimepita tu
   
 16. C

  Chiume Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Sijui kama wenzako huko juu wamesoma haya majibu ya kiungwana!!!!!!!!!!! video coming soon.....
   
 17. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Weka video mkuu wengine tuko kama Tommaso hatuamini mpaka tutomase.
   
 18. C

  Chiume Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdee hajaanza jana kutukana jukwaani...alianza kwa kumwita Mbatia shoga.. kwakuwa alikuwa magwanda hakuna kelele zilipigwa....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ccm ccm ccm
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wapenzi wengi wa CHADEMA humu JF ni icon ya CHADEMA nchini wala mimi sishangai.
   
Loading...