Kwa mbinu hii CCM itatawala milele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mbinu hii CCM itatawala milele

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakende, Aug 21, 2012.

 1. Kakende

  Kakende JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 2,734
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa muda sasa Chama Cha mapinduzi kimekuwa kikitumia mgongo wa udini ili kusambalatisha kwa maksudi vyama vinavyopata umaarufu hapa Tanzania. Mfano miaka kadhaa iliyopita CUF ilipata umaarufu lakini ghafla CCM wakazusha eti ni Cha waislam, wajinga nao wakaamini. Inawezekanaje hapa Tanzania chama kikashinda kwa njia ya udini? Au kikasajiliwa wakati ni cha kibaguzi?

  Baada ya kuimaliza CUF kwa upande wa bara sasa wamehamia kwa CHADEMA, baada ya kuona kuwa CHADEMA inakuja kwa kasi wamehamua kukizushia eti ni cha dini fulani na ukanda.

  Watanzania ebu tuwe watu wa kufikiria kwa umakini, hivi inawezekana CHADEMA ikawa na ajenda za kidini halafu ikawa na watu kama( Freeman mbowe+Zitto Zuberi Kabwe+Abdalah Safari+Wilbroad Slaa+Halima Mdee+Arf, nk.).
  Baada ya kuona tayari ndani ya CHADEMA kuna mchanganyiko wa Imani zote, wakaja na hoja ya Ukanda. Hata wakiwa bungeni wanasema eti CHADEMA ni ya kaskazini hivi kweli hata kama haukusoma , inawezekana (Arusha+Mbeya+Mwanza+Kawe+Ubungo+Iringa+Meatu+Maswa =KASKAZINI?), ebu WaTZ tuwe watu makini tusioyumbishwa.

  Kwenye uchaguzi wa Igunga ilitokea CHADEMA wakamvua mkuu wa wilaya kitambaa, CCM kwa kuwalagai watu wakazusha eti kavuliwa HIJABU, lakini waislam wa Igunga kwa kuona kuwa huo ni ujinga wakasimama pamoja wakapiga kura kwa CHADEMA (CCM walitaka kuraghai waislam lakini wakafikiria kwa umakini)

  Ebu jiulize CCM walikuwa wapi kukiita CHADEMA chama cha ukanda miaka ya 1995, kwanini hili swala limeanza miaka ya 2010? Tena baada ya mbunge mwislam (ZITO KABWE) kupokelewa kama shujaa pale viwanja vya jangwani kwa kuibua hoja ya RICHMOND

  Kitendo cha kuwayumbisha watanzania kwa udini na ukanda ni kuwadharau watanzania, kama watatanzania hatutakuwa makini tutataishia kwenye lindi la umaskini kama ilivyo sasa ambapo cha ajabu Reli hazifanyi kazi, Shirika la ndege ATCL limesimama, TANESCO imefikia hatua ya kuzalisha umeme kwa generator, wanafunzi wanakwenda Sekondari bila kujua kusoma Nk.

  Watanzania tumieni akili kuchambua mambo, msikubali propaganda vinginevyo mtaendelea kuwapa CCM kura na itawatawala milele
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mbinu huwa imara au huwa na ufanisi wakati haijajulikana,lakini ikishajulikana si mbinu tena,so magamba watafute mbinu ingine.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kafumu keshafumuliwa,Jimbo linaenda kwa chadema.
   
 4. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Japo wewe ni mgeni, kwanza karibu JF. Hoja yako ni nzuri lakini ilishajadiliwa sana hapa JF. Hizo mbinu kwa sasa hazifanyi kazi kwani Watanzania siyo robot, wana akili zao na wameshagundua hilo. It is too late
   
 5. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tatizo waio wanatafita singo, sikuhiz haziuziki
  imekula kwao
   
 6. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Cha ajabu nimeona vijana hapa wanatumiwa na CCM kukichafua CHADEMA. Nadhani waamuke usingizini sasa. Tumechoka kudharauliwa. Wenzetu hata Rwanda wanaenda mbele kimaendeleo wakati hata aridhi ya kutosha hawana
   
 7. O

  Orio Lilio Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  warudi studio
   
 8. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hoja hii ilishajadiliwa sana hapa jamvini
  hakuna jipya na wataendelea kuwahadaa wajinga werevu tunajua mbivu na mbichi
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Itatawala na hali hii?!


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Chadema kimejijenga na kujieleza vizuri kwa watanzania,si rahisi kurubuniwa kirahisi hivyo.
   
 11. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  wajinga pekeee ndo wanashabikia hoja za kijinga kama hii ya udini, moja ya sifa ya kusajiliwa kwa chama siasa ni kutofungamana na dini yoyoyte ikibainika hivo chama kinafufutwa. sasa km msajili hajawahi toa onyo wala karipio kwa chama chochote cha siasa basi hakuna chama cha kidini.
   
 12. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
   
 13. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mananchi majinga sana, wao ni ndio ndio tu.
   
 14. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
   
 15. J

  JENSENE Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama hoja ishajadiliwa kitambo ni muhimu kukumbushana. Niwaombe wenzangu tuwe tunakumbuka tulikotoka na tulipo na tunataka kufika wapi. Tuzidi kuwaelimisha ndugu zetu ili wafunguke kifikra.
   
 16. t

  tenende JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ...............CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, kutengua matokeo ya ubunge Jimbo la Igunga yaliyompa ushindi mgombea wake, Dk Dalaly Peter Kafumu..........................Mbali na Dk Kafumu, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ya uchaguzi walikuwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga aliyetangaza matokeo hayo...........Sababu za kutengua matokeo1. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli alitumia nafasi yake ya uwaziri kutoa ahadi ya ujenzi wa Daraja la Mbutu ambalo lilikuwa ni moja ya kero kubwa kwa wananchi wa Jimbo la Igunga.2. Dk Magufuli akiwa katika moja ya kampeni za uchaguzi huo, alitumia nafasi ya uwaziri kwa kuwatisha wapigakura wa jimbo hilo kwa kusema kama hawatamchagua mgombea wa CCM, watawekwa ndani.3. Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage alitangaza kuwa mgombea wa Chadema alikuwa amejitoa katika uchaguzi huo, jambo ambalo Mahakama imeridhishwa na ushahidi uliokuwa ukitolewa. 4. kauli ya Imamu Swaleh Mohamed wa Msikiti wa Ijumaa Igunga, kuwatangazia waumini wa msikiti huo kuwa wasikichague Chadema, kwa kuwa baadhi ya viongozi wake wamemdhalilisha Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario.5. Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama kudai kuwa Chadema kilileta makomandoo katika uchaguzi huo na kupanga kuuvuruga.6. ugawaji wa mahindi ya kuwawezesha wakazi wa Igunga kukabiliana na njaa wakati wa uchaguzi huo kwamba ulitumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa kuwashawishi wananchi wawapigie kura. .................Jaji huyo alihoji iwapo wakazi wa Jimbo la Igunga walikuwa na njaa sana wakati wa uchaguzi huo kiasi cha viongozi wa Serikali kuona kuwa ulikuwa wakati mwafaka wa kugawa mahindi hayo.........wafuasi wa Chadema wakiwa wengi zaidi na wakionekana kuwa na furaha hasa baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo.............. Dk Willibrod Slaa alisema: “Mahakama imedhihirisha yale ambayo tumekuwa tukisema kila wakati kwamba CCM inatumia mabavu.”...........Chaguzi nyingine ambazo Chadema kilidhaniwa kushinda ni zile za Babati, Busanda na Biharamulo ambako kote CCM kilitetea viti vyake.
   
 17. N

  Njele JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeshtushwa na majadiliano ya hivi karibu kuhusu mahojiano kati ya mwanzilishi na mmiliki wa huu mtandao wa JF Mello Max. Nilifikiri huyu Mello Max ni wa kutoka kaskazini ambako wapinga mageuzi wamegeuza kwamba ndiko ukanda wa Chadema, kumbe anatoka Kanda ya Ziwa.

  Viongozi kadhaa wa Serikali na CCM wamekuwa wakilalamikia kwamba mtandao huu unapigia debe Chadema. Huku kuhaha kwa kubambikiza mambo ya kufikirika kunaelekea kukosa nguvu kwa sasa kwani kila kukicha wengi wanawageukia mgongo na kufuata upepo wa mageuzi ya kweli.
   
 18. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huu ndio ukweli ccm haitafika popote kwa uharamia wa amani na utumiaji mbovu wa raslimali za nchi
   
 19. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Asilimia kubwa ya wananchi wameelimika wamezielewa propaganda za ccm.hivyo kila jambo la kipropaganda litakalo letwa na ccm litaendelea kushindwa.km vile walivyo kuwa wakisema kuwa vyama vy upinzani vitaleta vita.
   
 20. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata nyau huwa hatawaliwi milele we huoni kama watu wameshabadilika.
   
Loading...