Kwa hili ccm mahututi

Aug 1, 2012
38
5
Kitendo cha mahakama kuu kanda ya Tabora kutoa hukumu ya kutengua ushindi wa ubunge - Dr. kafumu jana

kimeonyesha tabia mbaya ya CCM kuiba kura katika kushinda kwake. Binafsi naamini hata CDM wangepeleka mahakamani ushindi wa JK lazima angepigwa chini. Hakika hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho. Mwisho wa ccm uko ICU.:flypig::A S 103:
 
Kitendo cha mahakama
kuu kanda ya Tabora kutoa hukumu ya kutengua ushindi wa ubunge - Dr.
kafumu jana

kimeonyesha tabia mbaya ya CCM kuiba kura katika kushinda kwake. Binafsi
naamini hata CDM wangepeleka mahakamani ushindi wa JK lazima angepigwa
chini. Hakika hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho. Mwisho wa ccm
uko ICU.:flypig::A S 103:

kama mwisho wa ccm uko icu una maana ccm itadumu milele?
 
CCM kwisha habari yake,
Na kwenye katiba mpya lazima tuhakikishe kuwa ni marufuku kwa mawaziri kushiriki kwenye kampeni za chaguzi ndogo. afu tuone kama haya magamba yatashinda tena
 
Hii kitu leo nimeipenda angalau imeonyesha kua ccm haina influence kihivyo kwenye mahakama zetu na sioni hao jamaa kupita kwenye chaguzi zijazo
 
Watakoma kuwatumia hawa WACHUMIA TUMBO kutoa ahadi ktk campaign..waje kavu kavu uwanjani.ILA Igunga wana mtaji wa kura 2000 za wizi.ngoja nipige jaramba 2anze kumiminika kule.
 
Kitendo cha mahakama kuu kanda ya Tabora kutoa hukumu ya kutengua ushindi wa ubunge - Dr. kafumu jana kimeonyesha tabia mbaya ya CCM kuiba kura katika kushinda kwake. Binafsi naamini hata CDM wangepeleka mahakamani ushindi wa JK lazima angepigwa chini. Hakika hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho. Mwisho wa ccm uko ICU.:flypig::A S 103:
Nasubiri MSIBA!.
 
Mkoloni mweusi ameanza kuaga .vipi mwigulu uko wapi tume kumiss sana hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom