Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Dude, Aug 21, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hukumu ya leo kuhusu matokeo ya uchaguzi Igunga imeibua vitu kadhaa kwa vyama vya siasa,hasa chadema kujifunza.

  Wamekuwa wepesi sana siku zote kulalamika mahakama haitendi haki na kuwa mhimili huu wa haki unaingiliwa sana. Lakini leo wamekuwa wepesi kusema haki imetendeka-kisa wameshinda kesi.

  Je,haki inatendeka tu wakishinda chadema?Na uhuru wa mahakama unakuwa umeingiliwa pale tu ccm ikishinda kesi ya uchaguzi kama kule Arusha?

  Nadhani let us give the devil his due(his being a devil notwithstanding!)
  Tujifunze kutokuwa wepesi kuropoka,kulaumu,kukejeli,kutunga uongo na kutukanana/kuchafuana kusiko na msingi wala tija.

  Nyongeza:
  Tena hili la Tundu Lisu kuwaita majaji vilaza litawacost..mnajua kitu kinaitwa ‘judicial hunch‘? Ni ile hali ya jaji kuskiliza kesi na kuamua not on the basis of the facts and evidence tendered but on prior information,feelings,or opinions he holds regrding the matter..wakati mwingine tunasema jaji kawa ‘prejudiced‘.

  Mfano,mshawatukana majaji sana kupitia Tundu Lisu,mtashangaa Godbless Lema akishinda rufaa yake Court of Appeal,ambayo haohao majaji mlowaita vilaza wanapreside?
  It is so unfortunate that Tundu Lisu is an advocate of the high court,and courts subordinate thereto.He also happens to be his party‘s whip in the parliamnet.I though he should know better. If anything,hitting below the belt like that just works against him.it will all be coming back to him(and chadema for that matter!)
   
 2. toto zuli

  toto zuli Senior Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  chadema wanajisumbua buleeeee....................uchaguzi hata ukirudiwa ccmmmm itashinda tena
  watanzania wameichokaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kuendeleza ukabila na kunyanyasa wanachi kwa kujipendelea viti maluuuum full undugu
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,463
  Trophy Points: 280
  Pole..
   
 4. N

  Ndogue Ndogue Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maneno mengi hayajengi,ila tukumbuke lila na fila havitangamani.PENYE UKWELI UONGO HUJITENGA.MADUDU YA CCM YAMEANZA KUFICHUKA.
   
 5. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu siyo kwamba majaji wote ni wabaya. Asilimia kubwa ni majaji ambao wanatoa hukumu wakiwa wamevaa Umagamba. Pia hata hawa wanaotoa haki kinachowapata wanajua wao. Mfano mzuri ni Jaji Mwalusanya alijitahidi kutoa haki lakini alikaliwa kooni na hata hakuweza hata kupandishwa kuwa JA. Pia alitungiwa sheria ya kumbana yaani Basic Rights and Duties Enforcement Act iliyoweka majaji watatu baada ya kesi zilizopita kwa Mwalusanya, Serikali ilishindwa
   
 6. M

  Mpwechekule JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli unaujua ndugu lakini kwa sababu binafsi unasema mahakama inatenda haki kitu ambacho hata wewe moyo wako hauamini kama mahakama inatenda haki, pole kwa kujisumbua kwani leo Abdala safari amedhirisha ni ngozo nyingine imara ya cdm
   
 7. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kuna sehemu hata mtoto mdogo anajua hapa kuna namna na wala si bure
  hebu jaribu kuangalia habari ya jimbo la arusha mjini mlalamikaji hakuwahi fika mahakaman kutoa ushahidi
  Pia hapakuwa na ushahidi unaoshikika lakin jaji anasoma hukumu nusu saa na kutengua ubunge?
  Hapo jaribu pia kuangalia umuhimu wa jiji la arusha kidiplomasia na kiuchumi ndo utagundua kwanini watu wanalalamika haki haikutendeka.?
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tupa kule!
   
 9. G

  Geru Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ama kweli nyani haoni kundule, DK Hussein Mwinyi mtoto wa raisi mstaafu mwinyi, January Makamba mtoto wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Vita Kawawa???, Malima???, nk.........
   
 10. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mwalusany alitekelezwa.Hadi anafariki mwaka juzi (au mwaka jana) pale Dodoma alikuwa katika hali ya kusikitisha.

  Lakini Basic Rights and Duties enforcement Act hakutungiwa Mwalusanya bana sio kweli..kwanza hiyo Act inaruhusu jaji mmoja kuamua whther high court inaweza kuentertain suit brought up under the Act,na afterwards ndio mandatory wakae watatu.

  Nasema haikutungwa kuwabana majaji sababu pamoja na hiyo Act bado kuna so many judgements decided ahainst the govt ama rulling party.

  Cha msingi ni kuwa majaji wengi wako bold while others are not.And me and you know that that doesn‘t make the judiciary partial.
   
 11. E

  Emwaay Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toto zuli we hujakidhi haja za great thinkers site
   
 12. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora ulivyomwambia!!
  Anadhani kuna watu wenye upeo DHAIFU kama wake.... Leo CcM watachekea ''chooni''
   
 13. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Yani katika hoja yooote ulichoambulia ni ‘tupa yote?‘..you could be a layman in law,but you couldn‘t afford even a simple syllogysm?
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sijaona hoja hapa!
   
 15. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mkuu, acha kujifanya chizi. hata kama hukumu iliyotolewa leo ni ya haki, hii haiondoi ukweli kuwa uhuru wa mahakama umeingiliwa sana na hii serikali ya ccm. USITULAZIMISHE KUBADILI MAWAZO YETU KWA MHIMILI HUU WA DOLA ETI KISA, WAMETENDA HAKI KWENYE HII HUKUMU. ukweli ni kwamba mahakama inaboronga sana katika utendaji wake, kupatia kwenye hili hakufuti ukweli kuwa utendaji wa mahakama kwa hivi karibuni umekuwa m-bovu kupindukia.
   
 16. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mleta thread unadhihirisha wazi kuwa huna uwezo wa kuchambua hukumu zinazotolewa katika mahakama zetu. Au ametumwa kupima kumbu kumbu na uelewa wa Watanzania?
   
 17. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kumbukumbu zipi? Tatizo kila mtu akikaa humu anajiona mwanasheria..ndio maana wakasema these are courts of law,not public opinion!
   
 18. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wacha kupotosha watu wewe .wa Tz wa sasa wanaelewa mambo kuliko unavyo dhani wewe ,watu wanafuatilia kesi zote kwa umakini na wanaelewa vizuri
   
 19. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Embu niambie kesi ipi wewe uliifuatilia ukaielewa,unipe facts,issue,decision,reasoning na sheria ilotumika..

  Nakwambia Tundu Lissu atawacost nyie.
  Ustaarab ni hulka ya mtu,haufundishwi darasani wala hakuna chuo cha sheria kinafundisha ustaarab..

  Unaweza kucritique reasoning za majaji sawa lakini sio kutoa baseless accusations which end up being personal attacks..
   
 20. M

  MAKUNDA Senior Member

  #20
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni ukweli tusilaumu kwa kuwa hatukupata sisi, haki inaweza kutendeka na kwa wao.
   
Loading...