Naishauri serikali ya CCM waiombe Chadema isaidie zoezi la sensa!

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Serikali ya CCM ni wazi sasa imepoteza kuungwa mkono na wananchi, migogoro inayoendelea na waandikishaji wa sensa na serikali itatia dosari zoezi hili muhimu kwa nchi yetu. Vijana wa Chadema nchi nzima tuko tayari kulifanya zoezi hili kwa kujitolea, kama tutaombwa kufanya hivyo na chama chetu; ninavyoona serikali hii haina hata fedha za kulipa waandikishaji wa sensa!
 
Chadema isijiingize katika suala hili kwa sababu halina maslahi na sisi WAKRISTO,
 
Naunga mkono wazo. Tamaduni ya mswahili ukiona mwenzetu amelemewa na mzigo unamsaidia-pole baba hebu pumzika kidogo eh, pole na safari. Hali ilivo CCM imelemewa watanzania hatuna budi kukipumzisha chama kikongwe, miaka hamsini si mchezo!
 
Chadema isijiingize katika suala hili kwa sababu halina maslahi na sisi WAKRISTO,
Ona hata aibu basi, nyie CCM nyimbo zenu za udini watanzania wamashazipuuza na hata mkitunga zingine hamtaskilizwa kwani haziimbiki, kwa kifupi mmekwisha.
 
Actually hata mie nimeona dalili za kutofaul hili zoezi maana kutokuelewana kwa wahusika wakuu na makalani ni dalili mbaya.lakini pia katika suala hili sio la kisiasa nadhana hata chadema wanasisitiza hili suala na habari za kuingilia suala hili kiundani zaidi yaani usimamizi sidhani kama magamba watalitafsili vizuri.let them manage it, ila sio chadema tu,ila vyama vyote vya siasa visaidie ufanisi including cuf.
 
Back
Top Bottom