Serikali ya CCM haitendi haki.

Aug 1, 2012
38
5
Binafsi nashangazwa na kitendo cha serikali inayoongozwa na CCM kutokutenda haki kwa vyombo vya habari kwa usawa.

Nina maanisha kitendo cha kulifungia gazeti la Mwanahalisi kwa kukosa weledi wa hali ya juu, wakati kuna chombo cha

habari hapa nchini ambacho kila kukicha kinatoa matamko ya uchochezi wa hali ya juu na kinaachwa huru mpaka leo.

Mwanajamii ukitaka kusikiliza kwa umakini ni yasemayo sikiliza redio imani. Redio hii mara nyingi inazungumza kwa uhuru

sana katika kukashifu dini nyingine tena kwa uwazi na serikali hii inayojiita sikivu haisikii maudhui ya hii redio. Nakama

kweli serikali hii sikivu lazima ijue hata suala la sensa linachochewa na hii redio kuwa waislam wakatae kuhesabiwa.

Samahani kwa wale nilio wagusa katika

hili.
 
tatizo radio iman huwa haihatarishi madaraka yao sababu wao wapo kwa maslahi yao nasi usalama wala ustawi wa nchi na ndio maana hawalioni hili. hii nchi hii ikiendelea kuendeshwa hivi ipo siku damu itamwagika hii kama huamini angalia jinsi watu wanavyofanya liwezekanalo kupigania madaraka.
 
Back
Top Bottom