Mabavu ya kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabavu ya kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by otorokoko, Aug 22, 2012.

 1. o

  otorokoko JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 2,438
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama shabaha ya maendeleo ni kuongeza uhuru na maisha bora ya wananchi,shabaha hiyo haiwezi kutimizwa kwa nguvu.Iko methali inayoeleza ukweli wa jambo hili.Punda unaweza kumlazimisha kwenda kisimani,lakini huwezi kumlazimisha kuyanywa maji.Kwa amri au kwa ukandamizaji unaweza kuiweka sheria mfukoni kwa muda na kuweza kulitumia jeshi utakavyo lakini vyote hivi havileti maendeleo ya watu.
   
 2. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  ........ searching Hoja....... Failed....
   
 3. m

  malaka JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jeshi lishachoka. Utasikia sio siku nyingi wanakataa au kutenda haki ipasavyo. We unajua chanzo cha kuingiza silaha na kuanza kutumia green guards? Jipe moyo ukombozi upo karibu unachotakiwa ni kufuata upepo mwanana unapotokea. I mean support M4C.
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Jamani mbona Kikwete hana mabavu? Wala hujaeleweka! Kikwete is not among the dictators anyway! Kama ni sensa, mhhhhhhh!! Point NOT taken
   
Loading...