CHADEMA kumualika mwl.Kashindye wa Igunga siku ya kufunga M4C campain Morogoro

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Ingependezaje kama CDM watachukua ushauri huu; Kumualika mpiganaji Mwl.Kashindye aliyefanya kazi ya ziada kuhakikisha ushahidi wote muhimu unawakilishwa mahakamani na pia kuhakikisha mashahidi wake wote muhimu wanatinga mahakamani hadi kumuangusha kigogo wa MADINI DR.DALALI KAFUMU.

Ni vema CDM wakafanya kumwalika huyu mpiganaji apate nafasi ya kutusalimia watanzania siku hiyo kwani huyo ni mmoja wa Heros wa chadema na pia kesi yake imeingia kwenye historia ya CDM
 
Ushauri mzuri dogo Lu-ma-ga.

Kesi hii unajua ilibidi ifanyikie Nzega badala ya Igunga, eti ili kuogopa vurugu zinazoweza tokea. Matokeo yake jana Nzega palikuwa hapatoshiiii kwa shamrashamra kila kona na maandamano ya pongezi.
Bravo CDM, Bravo Mwl. Kashindye!!

Akiunganishwa kwenye Ziara za Operation Sangara na M4C, it will sound good......
 
Akisimama kwenye mikutano ataonyesha mfano wa Haki Iliyopatikana baada ya Kucheleweshwa!!
 
Cdm wanatakiwa si kuua ccm bali kuua na kusigina kabisa.Tukio hili la kuibwaga ccm litumike vzr kama tukio la kumvua lema ubunge.
 
ameshakuwa mtaji tena wakati mlimmwaga baada ya kugongwa na kafumu.
 
naona mnaurudia mpira wa kiume tena baada ya kuutumia na kuutupa

Kwani alimwagwa CDM hawako hivyo wasingweza kumwaga wakati kesi ilikuwa wazi lilikuwa swala la muda tu.CDM wanatwanga kote kote Kasulumbayi kila mara alikuwa kule, kumbuka kesi imeendeshwa na wakili wa serikali ya CDM prof.Safari wa CDM tena mjumbe wa BALAZA KUU kwa maana hiyo updates za kesi ziliruhswa kila mara au umesahau mara hii kweli watanzania wasahaulifu.cdm ni zaidi ya serikali weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ni taabu tupu kwa chama cha magamba, kila uchao wanaoza sehemu flani ya mwili wao, ifikapo 2015 watakuwa wananuka mwili mzima kiasi cha kumkera kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi yetu!
 
Wamemkumbuka tena,juzi juzi tu huyu mwalimu alikua anaganga njaa, na M4C ilisha msahau.
 
mimi ni chadema mwanzo kati mwisho...chadema mna mvuto wa hatari lakini huyu kashindye bana kuongea hawei inabidi apigwe tizi sana la kuongea ..mpelekeni akakae na msigwa kama mwezi hivi awe anafunguka kama kameza kanda au CD
 
Back
Top Bottom