Mkutano wa chadema reading wawachanganya ccm, nape awaagiza waandae nyama choma jumapili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa chadema reading wawachanganya ccm, nape awaagiza waandae nyama choma jumapili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 22, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Viongozi mbali mbali wa CCM tawi la UK wameaanza kuhaha baada ya kuona spidi ya Chadema imeshika kasi UK. inasemekana CCM kuwa makao makuu wamewaagiza waandae nyama choma / berbercue siku ya mkutano ili wajaribu walau kurudisha baadhi ya wanachama ambao tayari wameishahamia chadema. Leo viongozi mbali mbali waliokuwa wamelala walikurupuka na kuanza kuwapigia simu baadhi ya wabongo wakillalamika kuwa kwa nini wamewahama. mwenyekiti wa CCM UK Maina Owino alijaribu kuwapigia simu baadhi ya wabongo na kwa bahati mbaya kumbe alikuwa anawapigia watu ambao sasa ni wanachama wa chadema wakaaanza kumcheka.
   
Loading...