Siku Za Sensa na Wafanyakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku Za Sensa na Wafanyakazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mfamaji, Aug 22, 2012.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  I salute everyone here. Maxelo Mello hongera kwa kujibu maswali vizuri kwenye interview.

  Sensa ndio hiyo imekaribia na itadumu kwa siku saba. Kwa kuwa haizekani kujua lini msensa atapitia kwako, na kwa kuwa wingine watakuwa makazini ukiacha siku hiyo ya Jumapili Je ni utaratibu gani uliowekwa ili watu waweze kuwasubiri hao wanaohesabu? Au msensa ataweka appointment kwanza?

  Jamani naona issue itakuwa ngumu. Labda wana majibu NA WAJE watueleze hapa. Najua shule zitafungwa je kazi nyingine haziuhusiki na hili? Nimeona niiweke huku maana hatuna mahali maalum pa sensa.
   
 2. F

  FATHER OF HISTORY JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 545
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  polisi nao waende likizo kupisha sensa,madaktari nao waende likizo kupisha sensa,wakulima nao waende likizo kupisha sensa.kwanini walimu tu na wanafunzi?huu ni upendeleo jamani
   
 3. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe futa kauli, unataka hawa jamaa waseme CDM inachochea polisi na madaktari waende likizo
   
 4. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Zoezi la Sensa halita haribu Shughuli zozote za Kujitafutia kipato kwa Mtu..kwahiyo Shughuli zako zitaendelea kama kawaida.

  Makarani wa Sensa watapita katika Majumba Yenu kwa Mda wa Siku saba kwahiyo kama hautakuwepo kwa Mda Wote huo, Tafadhali Jaribu kumwachia Mtu[mwenye akili timamu] hapo Nyumbani kwako Ambaye atasimama Badala yako kama MKUU WA KAYA.... [awe anajua mambo mengi ya Kaya YAKo Kama vile UMRI,ELIMU ZA WANAKAYA n.k]

  Pia makarani kama hawatakuta Mtu au Mkuu wa Kaya wataacha Maagizo ya kuwa ,watarudi baadae au siku Nyingine mda ambao Mkuu wa Kaya Atakuwepo..
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sidhani kama nitahesabiwa
   
 6. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  HAKUNA AMBAYE HATA HESABIWA. Maana kutakuwa na Mtu Mmoja Tu yaani Mkuu wa Kaya atakayetoa Taarifa za Watu wote hapo Nyumbani.

  Pia kama itatokea Mkuu wa Kaya akakataa Kuhesabiwa pamoja na Wanakaya Wenzake! Karani wa Sensa Ata-NOTE kaya hiyo na Kupeleka Mahali husika ambapo Sheria itachukua Mkondo wake....
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ndio nishasema kuwa mimi sihesabiwi wal a sioni faida yake,wameshatuibia kura zzetu 2015 kwakutuhadaa na vitambulisho vya taifa sipotezi even a single minute
   
Loading...