Kufuatia ubadhilifu bodi ya pamba MD nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufuatia ubadhilifu bodi ya pamba MD nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Aug 22, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Si mwingine bali ni ndugu Marco Mtunga amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi,Big up Mgimwa kwa kufanya haya maamuzi maana Cheyo aliongea sana bungeni kuhusu hii bodi atlast jamaa ameambiwa akae chonjo
  Source:Www.ippmedia.com
   
Loading...