Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa amesitisha operesheni M4C kwa siku 5.
Dr Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CDM amesema amekubaliana na Serikali kwa maslahi ya nchi kupisha zoezi...
Ndugu wana-JF, tangu nimeanza kushiriki katika michango mabalimbali hapa jamii forum nimejijenga katika vitu vingi ambavyo nilikuwa sina. Hata hivyo naona changamoto nyingi kwa washiriki wengi...
Wataalamu wa siasa na sheria nisaidieni.
Nina hakina kwamba kuna watu wanaendelea na utumishi wa serikali wakati wao ni madiwani. Wengi wao ni chama tawala. Hii inaruhusiwa?
NA Tausi Mbowe | Mwananchi - Sept 01, 2012
TANZANIA imeweza kukusanya mapato yaliyozidi matumizi kwa zaidi ya asilimia tatu kwa mara ya kwanza tangu mtikisiko wa uchumi uikumbe dunia...
RATIBA YA UCHAGUZI NDOGO ZA MADIWANI 19 September -2 oktoba kabla ya saa 10:00 alasiri Kuchukua fomu za uteuzi kwa wasimamizi wa uchaguzi 2 October 2012: Siku ya uteuzi  3...
Former Tanzanian Prime Minister and Secretary General of the Organization of African Unity (OAU), Dr Salim Ahmed Salim will lead a panel of distinguished global leaders who will decide the winner...
siku ya ijumapili tarehe 9/9 Prof lipumba atazindua operation mchakamchaka katika viwanja vya jangwani kuanzia saa 4 asubuhi, ambapo viongozi wote wa chama na serikali wa chama cha cuf watakuwepo...
The Tanzania government has offered a seven day grace period for Tanzanians who have not yet registered for the national census that was scheduled to wind up.
Sitta, ambaye pia ni Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.
Alisema mapambano...
Napenda kufahamu kama chama cha Wananchi CUF kipo na wanachama wake kama wako hai na kama wapo napenda kufahamu harakati zenu za kisiasa katika mambo yafuatayo:
1. Sijawasikia msimamo wenu juu...
IN THE HIGH COURT OF TANZANIAAT NZEGA(TABORA REGISTRY) IGUNGA CONSTITUENCY BY-ELECTIONPETITIONMISCELLANEUS CIVIL CAUSE NO. 10OF 2011IN THEMATTER OF AN ELECTION PETITION UNDERTHE NATIONALELECTION...
Mkuu wa wilaya ya mbarali mkoani mbeya amenusurika kifo baada ya gari lake kupigwa mawe na kuchomwa matairi kwa kutumia misumari.
Balaa hilo limemkuta baada ya kutoa amri ya kufungwa kwa chuo...
Wana JF,
Mie nimekuwa nafikiri kuwa Rais wetu anapata shida na mafisadi kwa sababu MADARAKA aliyonayo Rais wetu ni kidogo sana. Ninaombi kwa Wabunge na Mawaziri waliopo hapa JF kuwa huko...
Salaam wakuu
Kutokana na kuendelea kwa wimbi la kuwafungamanisha VIJANA wanaowania nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa kuwa hawana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko zaidi ya kutumiwa na...
Jumamosi, Septemba 01, 2012 06:29 Na Pendo Fundisha, Mbeya
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Kapteni Sambwee...
Mh. Tundu Lissu akimwaga cheche zake kwenye mjadala wa katiba mpya na uchaguzi wa Majaji wa mahakama kuu Tanzania kwenye mkutano wa wanasheria uliofanyika jana Tarehe 31/08/12 katika ukumbi wa...