Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Aug 28, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa amesitisha operesheni M4C kwa siku 5.
  Dr Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CDM amesema amekubaliana na Serikali kwa maslahi ya nchi kupisha zoezi la sensa liishe ili kuepusha uvurugwaji wa zoezi hilo muhimu kwa Taifa.
  Hata hivyo kiongozi huyo kipenzi cha watanzania ametoa onyo kali kwamba kamwe hatakubaliana na visingizio vyovyote vya kuzuia operesheni yao baada ya sensa.Dr Slaa ameendelea kusema tayari kikosi cha ufundi cha CDM chenye makamanda karibu 100 tayari kimewasili mkoani Iringa kusimamia operesheni M4C inayotikisa nchi kwa sasa...  Source:Habari ITV
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Dr.Slaa na maamuzi makini kwa wakati makini ccm je?
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  wametoa sababu gani?
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bajeti ina utata, mshiko haujaingia bado, anti money laundering wanachunguza vyanzo na nia.
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Sababu za kusutisha? Mbona unatoa habari nusu nusu, unakimbilia wapi?
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  http://www.wavuti.com/

  karibu ubwabwa.
   
 7. m

  majebere JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mpaka kafa mtu ndio wanasitisha fujo zao,walikua wapi siku zote hizi.
   
 8. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu asante nimeiona dr anatema point
   
 9. m

  mayengo Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmm! Hivi kiongozi wa upinzani ni dr Slaaaa!
   
 10. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hata kuku kwa kutumia ubongo wake angetambua kuwa kuna maisha ya mtu tena asiye na hatia yamepotea kwa sababu ya kiburi cha CCM na polisi wao. Lazima uhai wa mtu uheshimiwe, mie naamini operesheni imesimamishwa kuomboleza kifo cha kijana aliyepigwa risasi na vilevile kuandaa taratibu za mazishi ya kishujaa.....kumbuka huu ni ukombozi mwingine.
   
 11. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  KWA Sababu YA SENSA YA WATU NA MAENDELEO TANZANIA NA BAADA YA HAPO M4C TWANGA KOTEKOTE.
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,017
  Trophy Points: 280
  Yes ni uamuzi mzuri alioufanya hii itasaidia uchunguzi kwa yaliyotokea
   
 13. M

  Mkulima aka peazant Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jeshi la polisi limewaomba kusimamisha kupisha sensa akasema uwe ni mwisho wa visingizio kwa jesh hilo na baada ya siku tano kwisha watakuwa unstopable
   
 14. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  kuna mata(ko) mmoja anajiita shigella, ameongea uharo ITV kwenye habari kaniudhi sana!
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Dr pumzika ili ukienda Iringa uwashe moto wa uhakika
   
 16. a

  adolay JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Kuahirisha M4C kunatokana na Polisi kusema inaweza kuvuruga shughuli za sensa huko Iringa.

  Kwa maana hiyo, Dr Slaa amekubaliana na hoja ya polisi akiahilisha kwa siku tano na kusema baada ya hapo chadema hawatakubali visingizio vingine vyovyote vya polisi na wataendelea na ratiba yao huko iringa kama kawaida.
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ni kiongozi wa CCM?
   
 18. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tena huo ndio wakati wa kuandaa mazingira ya mikutano ya nguvu hasa. God is in our side.
   
 19. m

  majebere JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
  Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.
   
 20. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Afadhali. Ngoja nipumue kidogo kuvuta siku. Huku nilipo siku wakija sijui itakuwaje, mtatuua jamani na mawazo
   
Loading...