CUF hiki chama bado kipo? sikisikii kwenye katiba, Sensa, vitambulisho wala mikutano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF hiki chama bado kipo? sikisikii kwenye katiba, Sensa, vitambulisho wala mikutano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Sep 1, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,536
  Trophy Points: 280
  Napenda kufahamu kama chama cha Wananchi CUF kipo na wanachama wake kama wako hai na kama wapo napenda kufahamu harakati zenu za kisiasa katika mambo yafuatayo:

  1. Sijawasikia msimamo wenu juu ya sensa ya watu na makazi either kushawishi kujiandikisha au kutojuandikisha sasa kama chama mko upande gani baridi au moto ila neutral hatutaki utakuwa unafiki.

  2. Vipikuhusu katiba mpya mbona mpo kimya kunani na mnamchango gani lwa taifa?

  3. Vipi kuhusu vitambulisho vya taifa mmependekeza nini au mmeishauri vipi serikali ya CCM

  4. Vip kuhusu mikutano yenu ya hadhara imeishia wapi imekuwa tofauti na kipindi kile ambacho haipiti wiki bila kuwasikia ila kwa sasa ni miezi inapita sasa hakuna cha Lipumba wala Mtatiro

  5.Meli imezama mmekaa kimya kama wapemba hawajafa nakumbuka kipindi kile kabla hamjaingia madarakani pasingetosha.


  6. Vipi kuhusu hari ya kisiasa na uamsho sijawasikia hata katibu wenu na makamu wa rais akizungumzia chochote juu ya hili.

  7.

  8.....
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Vipi kuhusu ziwa Nyasa CUF washato tamko?
   
 3. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mkuu we uko wapi? kuhusu sensa CUF ilitoa tamko kupitia kwa Sheikh Ponda.
   
 4. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,780
  Likes Received: 6,114
  Trophy Points: 280
  Na Katiba kupitia wing yao ya UAMSHO.
   
 5. A

  Albimany JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45

  Mkuu utaisikia wapi na wewe unasoma jamiiforrum tu!

  Usivimbe macho kwenye mtando mmoja jaribu kusoma sehemu tafauti nyenginevyo utapata habari za DR Slaa Na na CHadema yake tu hapa.
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  cuf inawakilishwa na ccm, sio chama cha upinzani tena, ndo maana hata ccm hawana habari nacho wanahangaika na cdm tu.
   
 7. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Mkigoma uje kujibu hili
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Kafu imeolewa na kwa tamaduni zetu mume ndio mwenye sauti,habari za kafu muulize nape
   
 9. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Cuf walipinga sensa na prof wao alitoa laki moja ili kuanzisha movement, by the way hawa jamaa nimesikia wao nao wana kitu yao inaitwa v4c yaan vision for change
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo tusome gazeti la al-Nuur na kusikiliza radio Imani?
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  CUF ipo ICU inahitaji maombo kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Bwana Yesu.
   
 12. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  khaaaa khaaaaa umenichekesha kweli daaa, inabidi tuupige vita mfumo dume
   
 13. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo hamtembelei mitandao mingine, nyie mnavimba macho jamii forum pekee, angalieni msiwe vipofu
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ulitaka twende mitandao ya magazeti pendwa????? Nenda huko hiyo ndiyo inakufaa wewe na ungangari wako!!!
   
 15. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo hamtembelei mitandao mingine, nyie mnavimba macho jamii forum pekee, angalieni msiwe vipofu
   
 16. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu tusaidie kutupa link yahiyo mitandao mingine!!Ila usiache kuperuzi Jf maana toka nimejiunga napata mambo moto siyachadema tu hata Uhamsho shekhe Ponda pia CUF ila kwasasa humu siwaoni?Hata midia zingine kama magazeti nk!
   
 17. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  masikini kafu ndoa mbaya kisa pesa!
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  CUF si ndio CCM B?
  Sasa wewe unataka habari gani tena,si CCM A wanawawakilisha?
   
 19. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,536
  Trophy Points: 280
  Si kuna Beijing jaman haki sawa kwa wote wao wamewekwa ndani kama pambo
   
 20. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  NCCR, TLP na CUF vimeshauliwa na mchawi bado yupo hai ingawa mahututi, kwa hivyo ninavishauri vyama vilivyo hai viwe macho.
   
Loading...