Kiongozi wa upinzani nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa upinzani nchini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mozila, Sep 2, 2012.

 1. Mozila

  Mozila Senior Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hivi dr.slaa ni kiongozi wa upinzani nchini? Nashindwa kuelewa..
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndiyo! Kwani wewe unajua nani ni Kiongozi wa upinzani nchini?
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kiongozi wa upinzani bungeni ni mbowe.. Inategemea unamaanisha wapi
   
 4. Mozila

  Mozila Senior Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hakuna kiongoz wa upinzani Tanzania wewe slaa ni katibu mkuu cdm
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naona unajifunza elimu ya siasa Mkuu wangu. Political Scientist wanasema kwamba "Unapofanyika uchaguzi Mkuu, mgombea aliyeshika nafasi ya pili kwenye uchaguzi ndiye anachukua dhamana ya Kiongozi wa Upinzani nchi husika hadi uchaguzi mwingine utakapofanyika". Ndiyo maana Dr Kiza Besigye ni Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda. Hata Raila Odinga angekuwa Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya sema kilicho neutralize ni yeye kuingia kwenye serikali ya mseto. The same to Morgan Tchangirai wa Zimbabwe.

  TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaha...jibu rahisi kwa swali rahisi!
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Tanzania hakuna hicho cheo.
   
Loading...