Salim Ahmed Salim to chair Mo Ibrahim adjudication committee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salim Ahmed Salim to chair Mo Ibrahim adjudication committee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Aug 31, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Former Tanzanian Prime Minister and Secretary General of the Organization of African Unity (OAU), Dr Salim Ahmed Salim will lead a panel of distinguished global leaders who will decide the winner of this year's Mo Ibrahim African Leadership Award.
   
 2. m

  matawi JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kama jina la muzee wa musoga lipo aliondoe kwanza kuepusha panel pollusion
   
 3. n

  nunu Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Congrats Excellency
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  He is the dude I respect. Hajapoteza mvuto bado.
   
 5. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 850
  Trophy Points: 280
  anakubalika sana ingawa dhaifu alisema jamaa ni mwarabu! Kweli dhaifu ni bingwa wa unafiki!
   
 6. m

  mymy JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  ....watu na elimu zao wala hawajioneshi only actions talk sio kama kina sie elimu ya kubabia kila siku kujinadi kwenye vyombo vya habari....
   
 7. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii imenikumbusha dhaifu alivyomletea fitna na kunyimwa nafasi ya Urais!
   
 8. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Imenikumbusha promoter alivyomzushia jamaa ni hizbolah
   
 9. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  iyo kashfa itakitafuna sana chama cha mapinduzi.
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Winner wa mwaka huu ni mmoja kote barani Africa. Na jina la mtu huyo anaitwa Kamanda Paul Kagame wa Rwanda.
   
 11. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Ni JK ndo winner ;
  sababu

  1- Suala la Zanzibar CUF +CCM
  2. Kuruhusu Katiba mpya
  3. Uhuru wa kupindukia ,ambao sio uhuru kwani ulishavuka mipaka
  4. Laiser fair policies
  5. Salm aliza atangeneze wapambe wa kumpitisha
  6. kupambana na ugaidi- tulivyosifiwa na Marekani
  7. Mgogoro wa uraisi kenya alivyosuruhisha
  8. Elimu (kuongeza mashule ya kata na vyuo; Idadi ya Wasomi Tanzania imeongezeka toka 20% mpk 46%
  9. Kupambana na madawa ya kulevya
  10. Kuongeza Idadi ya wanawake kwenye ngazi za maamuzi na ubunge, ukuu wa wilaya na mikoa
  11. Kilimo kwanza TANZANIA inajitoshereka kwa kilimo ; Toka 2007 Atujaagiza vyakula
   
 12. E

  Eddie JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukisikia kukurupuka ndio huku, watu hata hiyo Mo Ibrahim award inatolewa kwa viongozi wa aina gani hamjui, mnaanza kutaja watu ambao bado wapo madarakani kama Kagame, JK nk
   
Loading...