Uchaguzi mdogo wa madiwani kata 29 kuwaka moto oktoba 28

tenende

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
6,511
500
RATIBA YA UCHAGUZI NDOGO ZA MADIWANI 19 September -2 oktoba kabla ya saa 10:00 alasiri Kuchukua fomu za uteuzi kwa wasimamizi wa uchaguzi 2 October 2012: Siku ya uteuzi  3 October 2012 – 27/10/2012: Kampeni za uchaguzi  28 October, 2012: Siku ya uchaguzi NB: Kata 28 madiwani wake walifariki dunia, isipokuwa kata ya Mnero Miembeni (CCM)huko Nachingwea ambaye aliamua kujivua Gamba.
 
Kata hizo ni 1. Daraja mbili (Arusha); 2. Mtibwa (Mvomero); 3. Mletele (Songea); 4. Bangata (Arusha); 5. Luwumbu (Makete); 6. Lwezera (Geita); 7. Makata (Liwale); 8. Miyenze (Tabora); 9. Ipole (Sikonge); na 10. Kiloleli (Sikonge).
 
Masikini chama changu ccm ,tutaambulia hata kata moja kweli na huu upepo ulivyokaa vibaya?
 
Kata nyingine ni: .... 11. Bugarama (Kahama); ..12. Lubili (Misungwi); ..13. Likokona (Nanyumbu); ..14. Nanjara/Neha (Rombo); ...15. Kilema kusini (Moshi); ...16. Vugiri (Korogwe); ..17. Mwananza (Shinyanga); ...18. Msalato (Dodoma); ...19. Magomeni (Bagamoyo); ... 20. Mpepai (Mbinga); ..21. Mpapa (Mbozi); ... 22. Myovizi (Mbozi); ...23. Tamota (Lushoto); ...24. Mlangali (Ludewa); ..25. Mpwapwa (Mpwapwa); ...26. Mahenge (Ulanga); ..27. Karitu (Nzega); na ..28. Kitangiri (Newala). Hizi ni kata 29 (ukihesabu na Mnero miembeni) ambazo zitatawaliwa na hekaheka za uchaguzi mwezi wa 10. .....Source: ....tume ya taifa ya uchaguzi
 
on a serious note vp kata zingine za arusha mfano sombetini, kaloleni n.k?
 
on a serious note vp kata zingine za arusha mfano sombetini, kaloleni n.k?
Mkuu zile kata zenye kesi mahakamani hazitakuwa na uchaguzi. ... Taarifa niliyoitoa ipo ktk ofisi zote za vyama ktk wilaya au kata husika!...
 
kazi imeanza sasa,ccm wataona upepo kwenye hizi chaguzi mpaka kitaeleweka tuu.

ngoja niangalie ratiba ya m4c nione moto utavyowashwa apo.
 
Haya tusubiri kipyenga!... Msisahau kutujuza mchakato unavyoendelea!.
 
Kata nyingine ni: .... 11. Bugarama (Kahama); ..12. Lubili (Misungwi); ..13. Likokona (Nanyumbu); ..14. Nanjara/Neha (Rombo); ...15. Kilema kusini (Moshi); ...16. Vugiri (Korogwe); ..17. Mwananza (Shinyanga); ...18. Msalato (Dodoma); ...19. Magomeni (Bagamoyo); ... 20. Mpepai (Mbinga); ..21. Mpapa (Mbozi); ... 22. Myovizi (Mbozi); ...23. Tamota (Lushoto); ...24. Mlangali (Ludewa); ..25. Mpwapwa (Mpwapwa); ...26. Mahenge (Ulanga); ..27. Karitu (Nzega); na ..28. Kitangiri (Newala). Hizi ni kata 29 (ukihesabu na Mnero miembeni) ambazo zitatawaliwa na hekaheka za uchaguzi mwezi wa 10. .....Source: ....tume ya taifa ya uchaguzi

ccm wanaweza kuambulia mpwapwa, msalato na magomeni tu kulikosalia Chadema wera wera wera!
 
Nashindwa kuelewa niwe wapi. Kata yangu ya nyumbani ya Kilema Kusini ina uchaguzi na wakati huo nimekwisha anzisha harakati za M4C kata ya Mletele Songea nikishirikiana na makamanda Masumbuko Paul na Madiwani wa CDM Songea Mjini. Potelea mbali. Wakati wa kampeni ntakuwa Mletele ili kuongeza kata za Chadema Songea maana huko Kilema Kusini tumekwisha shinda bali kinachotafutwa ni USHINDI wa kishindo.
Mletele tunasapoti ya kutosha maana wazee wanasema ufisadi basi tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom