Prof Lipumba kuzindua operation MCHAKAMCHAKA Jangwani 9/9/2012

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
siku ya ijumapili tarehe 9/9 Prof lipumba atazindua operation mchakamchaka katika viwanja vya jangwani kuanzia saa 4 asubuhi, ambapo viongozi wote wa chama na serikali wa chama cha cuf watakuwepo kabla ya kuelekea mkoani Arusha. wa mikoani. TBC LIVE.
 
Arusha wanapoteza muda labda wangeanza Lindi, Mtwara na Pwani ili kufufua matumaini ya waumini wao waliyopotea kabisa.
 
siku ya ijumapili tarehe 9/9 Prof lipumba atazindua operation mchakamchaka katika viwanja vya jangwani kuanzia saa 4 asubuhi, ambapo viongozi wote wa chama na serikali wa chama cha cuf watakuwepo kabla ya kuelekea mkoani Arusha. wa mikoani. TBC LIVE.

Ni lazima mtumie TV yenu.Ndoa tamu jamani.....
 
arusha msikanyage!tulishamzika baba mwenye nyumba makaburi ya ngarasero.
 
Arusha! Halafu kurushwa na TBC live??

Bila shaka hawa wamekumbuka shuka ingali kumepambazuka!

Hawa hawana sumu!
 
Back
Top Bottom