Kuongeza Tija katika Michango yetu hapa Wana-JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuongeza Tija katika Michango yetu hapa Wana-JF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ufipa-Kinondoni, Sep 2, 2012.

 1. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,466
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana-JF, tangu nimeanza kushiriki katika michango mabalimbali hapa jamii forum nimejijenga katika vitu vingi ambavyo nilikuwa sina. Hata hivyo naona changamoto nyingi kwa washiriki wengi. Changamoto hizo ni pamoja na:-
  1) Ubishi mwingi katika mada muhimu-usio na tija kwa maendeleo ya jamii,
  2) Upeo mdogo wa baadhi ya mchangiaji,
  3) Kuleta mada zisizo za msingi, na
  4) Matusi na kejeli.

  Hizi changamoto imeonekana zinatokana na tofauti zetu hasa ki-imani na ki-itikadi. Kwa njisi ninavyoona ningetamani wanajamvi kushiriki katika uboreshaji wa mada zetu na kuwajengea uwezo na upeo wa washirki wote kupitia hii thread.

  Je we kama mdau umeona changamoto gani na nini kifanyike?

  Asanteni.
   
Loading...