Video: Tundu Lissu akihutubia TLS Arusha 31/08/12 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Tundu Lissu akihutubia TLS Arusha 31/08/12

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Brakelyn, Sep 1, 2012.

 1. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mh. Tundu Lissu akimwaga cheche zake kwenye mjadala wa katiba mpya na uchaguzi wa Majaji wa mahakama kuu Tanzania kwenye mkutano wa wanasheria uliofanyika jana Tarehe 31/08/12 katika ukumbi wa mikutano AICC (Simba Hall) mbele ya Jaji Warioba, Jaji Mihayo, Jaji Makaramba.. mkutano huo wa siku mbili unamalizika leo mchana na unahusisha wanasheria na mawakili wote Tanzania..Hotuba yake nzima ntaiweka hvi punde!!

  [video=youtube_share;gVKt8aDXdaw]http://youtu.be/gVKt8aDXdaw[/video]
   
 2. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Iko wapi, bange bwana.
   
 3. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nahisi ipo siku watamuua huyu kiongozi dah sijui watasemaje hao viongozi jamaa haogopi kabisa.
   
 4. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Asee huyu jamaa ni kichwa sana!

  Heshima ya Nahakama itarudi tu!!
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  @Brakekyn kongamani lenu haliwezi kuwalazimisha hao wasio na sifa wajiuzulu?
   
 6. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha na maudhui ya kikao tuwekee ili wanaopinga ukweli tuwaone watatokea wapi.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tunasubiria Kamanda wetu!

  Bandika kila kitu!
   
 8. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mkuu tuambie reaction ya wanasheria wakati Kamanda Lisu akimwaga cheche? Pia body language za Jaji Mkuu na Warioba wakati wa hotuba hiyo? Na nini kimezungumzwa baada ya Mh Lisu kupinga au kukosoa au Werema na Chikawe walimtukana tena?
   
 9. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Tuwekee hard copy tusome wengine technology hairuhusu kuisikiliza
   
 10. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,754
  Likes Received: 6,029
  Trophy Points: 280
  Dah! Hii sasa ni zaidi ya kashfa kwa CCM, Ikulu, Mahakama, na Bunge. Watu wasiishie kuzomea na kukebehi tu, mamlaka ya uteuzi inapaswa kwa kweli kuchukua hatua za haraka kunusuru huu mhimili wa utoaji haki. Dah! sina la zaidi wakuu.
   
 11. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,754
  Likes Received: 6,029
  Trophy Points: 280
  Mkuu ikiwezekana tuwekee hotuba nzima ya Mh. Lissu tafadhali sana ikiwezekana na hard copy kama alivyoshauri mdau hapo juu. Please, treat this as an urgent matter.
   
 12. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmmmh!
   
 13. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  BRAVO LISSU! Mimi nashkuru kwamba umetambua mtego mwingine wa CCM na kuanza kupambana nao. UTEUZI wa majaji wasio na sifa siyo jambo la bahati mbaya, ni MAKUSUDI. CCM wanajua kuwa (1) kupitia mchakato wa KATIBA MPYA hoja zao nyepesi za kutopingwa matokeo ya RAIS zitatupiliwa mbali sana; (2) RAIS ataondolewa mamlaka ya uteuzi wa majaji; NA (3) watashindwa vibaya uchaguzi wa mwaka 2015: hivyo wameamua kujiandaa mapema na hali hiyo, PAMOJA NA MAMBO MENGINE, kwa (a) kuteua majaji wengi WASIO NA SIFA, wanaofanyakazi kwa huruma ya RAIS na ambao wataamrishwa na kutekeleza matakwa ya CCM 2015; (b) kuandaa GREEN GUARD wa ukweli kwa kurudisha JKT kwa FORM VI ambao watabonda watu ki kweli2 2015 wakishirikiana na polisi, TISS na JWTZ; na (c) kuandaa taratibu za kupinga matokeo ya uchaguzi 2015.

  MAJAJI hawa lengo lake ni 2015, hapo CCM itashindwa na baada ya kushindwa itachukua hatua mbili: (1) kupiga watu wakitumia majeshi - na iwapo itaona kuwa hilo litasababisha GENOCIDE, mauaji ya kimbali kama ilivyotokea KENYA, na kwa sababu ya kuogopa kupelekwa THE HAGUE kama akina KENYATTA & RUTO - watakuja na mkakati namba mbili ambao ni (2) kupinga matokeo mahakamani, na hapa ndipo majaji hawa watatumika. MAJAJI hawa feki watasema CCM imeshinda kwa halali "kwa sababu fujo zilizotokea, mapungufu wakati wa uchaguzi, havitoshi kuufanya uchaguzi kutokuwa huru na haki: CCM iendelee kutawala." BAADA ya kutamka hivyo, majeshi yataingia mitaani kuchapa wale watakaokuwa wakipinga matokeo...

  UTEUZI wa majaji hawa feki si bahati mbaya kwani ni miaka 4 imepita tangu RAIS ashauriwe kuwatimua kazi, lakini wapi, ndo kwanza anateua wengine feki zaidi. SIYO bahati mbaya, JK anajua nachofanya...
   
 14. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu unataka hardcopy? Mbona hiyo ngumu au unamaanisha soft copy? Hiyo sote twaisubiri sana
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Whatever, haya mambo ya teknoloji ni mageni- we meant soft copy- scan and attach-or direct from the computer?
   
 16. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natamani tungepata vichwa kama 10 hivi kama vya huyu jamaa halafu wote wakawepo bungeni na sehemu mbalimbali za maamuzi.
   
 17. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,754
  Likes Received: 6,029
  Trophy Points: 280
  Yaani hiyo clip burdani sana kuisikiliza. Ukiacha hutuba za makamanda mbali mbali katika matukio tofauti, hii ya Mh. Lissu ni kitu nadra sana tangu baada ya zile hotuba za kizalendo za Mwalimu. Aina hii ya watu ndio wanastahili kutembea kifua mbele na cheo cha UHESHIMIWA. He is a real honorable MP. I am really proud of Hon. Tundu Lissu.
   
 18. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  LISU = Jembe lisiloisha makali
   
 19. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona majaji wa aina hiyo tunao wengi! Nakupeni mfano wa mmoja wao; Justice RWAKIBARILA aliye hukumu kesi ya kamanda Lema. Ulikwisha ona wapi na imetokea Tanzania tu duniani kote "KWA MTU ASIYE HUSIKA NA KESI KUSHITAKI KWA NIABA YA MTU MWINGINE AMBAYE NDIYE AMTENDEWA NA AKASHINDA; SWALI JE, HUYO MTENDEWA ANGEKANUSHA INGEKUWAJE?
   
 20. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa atawaua watu kwa presha mwaka huu. big up tundu. wewe ni mpambanaji kwelikweli. tusikubali nchi kuendelea kuendeshwa kimagumashi kiasi hiki. Mbona hawajibu hoja? Jaji kiongozi analeta viloja! Lol
   
Loading...