Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumesahau mambo mengi. 1. Mjadala wa katiba:israel: 2. Hoja ikiwa hot bungeni swala la ulimboka linatukika , siku azigandi:yawn: 3. Bunge atujui mpk sasa wanapitisha nini:sleepy: 4. Chadema...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika kipindi hichi cha uchaguzi ndani ya CCM na jumuiya zake ni vyema UVCCM kama jumuiya mojawapo muzingatie yafuatayo, Mosi ni katika usaili wenu munaotarajia kuufanya tarehe 8.09,2012 kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia maoni ya namna serikali hii inavyoendesha mambo yake. Pasipo na shaka nimegundua kuwa watanzania wamechoka na namna mambo yanavyoendeshwa hii ni kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JUMATANO, SEPTEMBA 05, 2012 05:38 ADMINISTRATOR *Mwenyekiti UWT agoma kuitisha uchaguzi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ameitaka Jumuiya ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kisa hiki si kigeni masikioni pa wengi lakini pia nishikuru ndugu yetu Majjid Mjengwa kwa kukiweka katika maandishi nami nimetumia maandishi yake kuwakumbushia watu. Ndugu zangu, Kuna kisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushauri wangu kwa CDM na wafuasi, mabadiliko yoyote makubwa ni lazima yawe na ukinzani mkubwa.., uvumilivu na kutokata tamaa unahitajika sana.ukiangalia historia za nchi nyingine ambazo utawala...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na kutuhumiwa na wabunge kuwa mmoja wa makamishna uhamiaji Paniel Mgonjajaalikuwa anatumia madaraka yake vibaya kwa kuwaonea wafanyakazi wa idara hiyo kwa kuwa baadhi yao walikataa kutimiza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katiba yetu hii mbovu tuliyonayo inasema wazi, "Uhuru wa Maoni, Sheria ya 2005 Na. 1 ibala ya 5 inasema" Kila mtu (a)anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake; (b)anayo haki ya...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Chama cha mapinduzi CCM kimetoa ufafanuzi kuhusu hatua ambazo serikali ya chama hicho inachukua kukabiliana na mfumuko wa bei ya vyakula na mfuta. Katibu wa itikadi na uenezi Nape nnauye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Polisi kuua raia ovyo Mawaziri kusema na kufanya wanachotaka, mara nyingine wakipingana Ufisadi wa kutisha unaofanywa bila woga Usalama wa taifa kutuhumiwa kila wakati kutia ndani utekaji wa raia...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF ameitaka serikali ya rais Kikwete iwajibike. Akiongea na DW radio amesema jeshi la polisi haliwezi kukaa kando kutokana na kifo cha kijana DAUD...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Picha za mkutano wa cdm leo Kihesa manispaa ya Iringa
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Yanayotokea nchini mwetu yanatutaka sio tu tufikiri, bali, tufikiri kwa bidii. Lakini swali ni hili; Je, uwezo wetu wa kufikiri umepungua? Yumkini si kwa aliyekuwa na ujasiri...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv, eti lead stori ni kuahirisha kikao cha bunge kutokana na ajali ya meli,hivi kuzama kwa meli yenye abiria zaidi ya 200 na kuahirisha bunge ipi stori...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
The Egyptian-African company for investment and development has decided to invest a total of US$400 million to establish two sugar mills, one in Sudan and the other in Tanzania, in order to meet...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Katika umri wangu ambao si haba nimeshiriki kuhesabiwa kwa miongo kadhaa. Katika miongo yote hiyo, sijawahi kuona zoezi lililodorora na kuborongwa kama Sensa ya mwaka huu. Wengi watakubaliana nami...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Secretary General of the East African Community (EAC) Amb. Dr Richard Sezibera has announced that partner states have committed themselves to a clear time table for removing all existing non...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
hivi wanajamvi na wachambuzi wa masuala ya duru za kisiasa naomba kujua idadi ya TUME HURU na zitajwe toka dk Kikwete kuingia ikulu 2005,maana imekuw too much jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Morogoro Mjini-CCM,Aziz Abood amekaririwa akisema kuwa vitendo vinavyoendelea kufanywa na Polisi Jimboni mwake,kurindimisha mabomu ya machozi na risasi ni kumpora Jimbo lake. Taarifa...
3 Reactions
87 Replies
9K Views
Picha hizi mbili zote ni matukio yaliyojiri tar 2.9.12. Wakati yanatokea Serikali ilikuwa imetoa wito wa kusitisha mikutano ya siasa kwa ajili ya shughuli ya sensa, sasa walikuwa wanamaanisha CCM...
5 Reactions
98 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…