Kamishna uhamiaji Paniel Mgonja analindwa na nani?

Mamboleo

Member
Oct 15, 2008
69
38
Pamoja na kutuhumiwa na wabunge kuwa mmoja wa makamishna uhamiaji Paniel Mgonjajaalikuwa anatumia madaraka yake vibaya kwa kuwaonea wafanyakazi wa idara hiyo kwa kuwa baadhi yao walikataa kutimiza maagizo ya kuwapatia raia wa Rwanda hati za kusafiria za tanzania...kinyume nataratibu za sheria za nchi,Kamishna huyo bado yupo na anaendelea kutamba kuwa hakuna mtu wa kumng'oa kwenye nafasi yake.

Ni nai anampa kiburi?Analindwa na nani?Waziri Nchimbi mbona hakutoa ufafanuzi wakati wa majumuisho ya hoja hii bungeni?

Nchi inaenda wapi?Wapi utawala wa kisheria?

Sitashangaa kuona Wizara hii ya Mambo ya Ndani inaanza kushindwa kuwawajibusha viongozi waliopo kwenye idara zake na ndio chanzo cha matatizo tunayoyaona sasa..kama vile mivutano kati ya vyama vya siasa na Jeshi la Polisi
 
Analindwa na serikali dhaifu chini ya kiongozi dhaifu kuliko wote duniani na mkwerere jina lake kikwete.
 
Back
Top Bottom