PICTURE: Toilets Sponsored by M4C.Highway from Morogoro to Dodoma 3 pairs.Project start 2013 March.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
546490_482982071720256_1539053708_n.jpg

Good Environmental l Protection

Infrastructure that provides access to water and sanitation facilities are also key to good health

In addition to health, education is another important factor that enables people to overcome extreme

poverty.

MY HUT OFF TO CHADEMA... WHERE WAS OUR RULING GOVERNMENT? ACTIONS SPEAKS LAUDER THAN WORDS!!!
 
Mkuu mbona sioni simtanks maji watapata wapi? Tujifunze kutoka shirika la reli kwani walikuwa na maji kila kituo kutoka Dar hadi Kigoma. Vijana wapate ajira ya kusambaza hayo maji mazingira yetu yaboreke.
 
nngu007 ameibua kitu cha maana sana. lakini amepoint Moro to Dodoma. This mean jamii ya huko wanaongoza kuchafua mazingira
 
Last edited by a moderator:
What is black empowerment when it seems to benefit not the vast majority but an elite that tends to be recycled?
 
nngu007 ameibua kitu cha maana sana. lakini amepoint Moro to Dodoma. This mean jamii ya huko wanaongoza kuchafua mazingira

Maendeleo Unaweka negativity... Hauangalii Umuhimu wa Hiyo Barabara? Wabunge Wetu wanaitumia kwenda kwenye Mikutano yao DODOMA na WAGENI wa

Ndani na Nje ya NCHI wanatumia hiyo BARABARA kwenda kuwaona WABUNGE na MAWAZIRI wakati wa VIKAO VYA BUNGE; Kila HIGHWAY DUNIANI ina VYOO

Sasa wewe kama bado UKO na ILE MANTIKI ya CHOO NI ANASA una MATATIZO; ina MAANA serikali ya CCM pamoja na wewe kuitetea HAJAWAHi kukupeleka

NJE YA NCHI na kuona jinsi HIGHWAY na EXPRESSWAY zao zilivyo safi? JARIBU kwenda kwenya tembelea NAIROBI labda utaweza kuelewa na mawazo yako

ya hali ya CHINI; MAZINGIRA ni MITI kukojoa NJE ni kuharibu MAZINGIRA... siko Darasani... PLAY YOUR PART IT CAN BE DONE... BE EDUCATIVE...

KAMA UNAJUA KUIMBA CCM JUU... then U CAN...
 
Acha kukurupuka kama zuzu, soma tena thread yangu! unakuwa kama umekalia kitu ngumu we vipi?
Inaelekea unaongoza kuchafua hali ya hewa kama pale mabibo
 
Chadema washaweka vyoo hivyo kwa barabara tajwa ama unawazindua wafanye jambo kama hilo? Litakuwa jema japo cdhani watapata ushirikiano positive toka kwa mamlaka husika zinazotakiwa ku identify for the eneo la kuweka, c zipo chini ya serikali ya magamba??
 
hongera chadema kwa kuonyesha mfano hata kama bado hamjaingia madarakani.Hizo pesa mngeweza kutengeneza vitumbua,ama t-shirt na kanga pamoja na pilao,lakini mmeonyesha kuwa nyie ni chama cha kweli cha wananchi.Mnasimamia kabisa jina la chama chenu kwa vitendo hata kabla hamjaingia madarakani,yani ni chama cha maendeleo na demokrasia.Big up makamanda.
 
Acha kukurupuka kama zuzu, soma tena thread yangu! unakuwa kama umekalia kitu ngumu we vipi?
Inaelekea unaongoza kuchafua hali ya hewa kama pale mabibo

​Ngumu ndio nini?
 
upeo wako ni mdogo kama urefu wa pua yako, hivyo hata nikikuelewesha huwezi kuelewa

Asante... Sihangaiki na Watanzania wenye Shida... UNAMATATIZO... Inaonyesha kila MTU anayeishi TANZANIA anaoyesha ana hasira za AJABU na KUTISHA

NI UCHUMI ni MBAYA BONGO? au ni UFISADI Mnaupenda Sana... Unawakimbiza? POLENI...
 
Ukiacha kukurupuka sote tutakuwa wastaarabu, watu tumeshakwepa risasi mingi halafu unatuletea upuuzi!
Wewe ndiyo una matatizo, ndo maana unakimbilia kwenye hoja ambazo ni premature!
Kuna mambo mengi watanzania wanahitaji wakafanyiwe, ambazo ni so urgent, watanzania wanahitaji huduma bora kama ulivyozitaja, lakini kwa udikteta wa ccm kabla ya kufikia huko kuna mambo mengi chadema wanatakiwa wakawafanyie watanzania pindi watakapochukua madaraka!
lakini kwa upeo wako mdogo kuliko hata chembe ya haradali na umezoea kunya hovyo unakimbilia huko!
Watanzania wengi wanaishi kwa mlo moja, unadhani atapata wapi kujisaidia hovyo kwa mawazo yako yaliyopinda?
acha kukopi na kupaste we dogo!
 
Ama kweli ulevi ukizidi mtu waweza kunywa hata pombe ambayo imewekwa emo Jick. Hapa mkuu sijaona ulichokisifia. Kama hiyo ndio ahadi ambayo uongozi wa cdm umewaahidi wananchi,hapana jamani mmekosea, labda iwe hiyo michoro siyo sahihi, otherwise ni uchafu ambao hauhitajiki. Ni vyoo ambavyo haviwezi kudumu hata kwa mwaka.
 
CDM wanakwenda ulaya, USA kujifunza vitu vya maendeleo na kuviwakilisha kwa vitendo na ndo inavyotakiwa BIG UP CDM
 
Back
Top Bottom