Lowassa na kamati yake wako wapi?

Jiulize hata mantiki ya kuwepo kwa hiyo Kamati kama yana faida kwa Mtanzania wa kawaida.

EL na urais. Urais ndio kila kitu ktk CCM kwa sasa.
 
Wako very selective and outright bias.

EL litaka kutoka na singo ya Malawi, inavyoonekana alitaka kumpiku hasimu wake wa Urais bw. Membe. Bahati yake mbaya karata zake hakucheza vizuri. They all lives presidency, na yale mazingaombwe ulioyasema mahali fulani ndio kwanza tunaona trailer... movie kamili bado.

Anyway unafahamu vizuri fani ya EL kitaaluma!
 
Wananchi wanapopolewa kama maembe na vyombo vya usalama mwenyekiti na kamati yake ya bunge wako wapi?mbona la Malawi hakuchelewa kwenda JWTZ kufuatila?

ahaaa napita tu! si bado mnatafuta mashujaa kwa nguvu zote sasa Lowasa aseme nini? Ulimboka kajinyamazia kimya mlimtoa chambo ameuona moto sasa mnatafuta mengine ili muilaumu serikali!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Muacheni kwanza Edo, anareconcile issue ya malawi alikosea wapi? Lakini naona kaibuka na issue ya kupinga Kilimo Kwanza, mi kwa kweli sasa ndio nazidi kujithibitishia kwamba hata watu wazima wamejawa na ujinga.
 
Wananchi wanapopolewa kama maembe na vyombo vya usalama mwenyekiti na kamati yake ya bunge wako wapi?mbona la Malawi hakuchelewa kwenda JWTZ kufuatila?

Does it have any significant bearing to the much-aspired for 2015? Malawi ndio ishu nene ya kumjenga mtu come 2015 kuwa "ana balls" za kuongoza!
 
Mkuu yuko bize akijipanga kupanga na kupangilia mipango mkakati kamambe wa 2015, hivi hiki kifo cha raia mmoja tuu, hakiwezi kuleta milage kubwa, hata wale waliouwawa maandamano ya Arusha, hawakuwa na political milege, yeye huwa ana comment issues zenye political milage za kitaifa tuu!. Kwa vile mimi sio msemaji wake rasmi, kwa kuwasaidia tuu wanabodi, msemaji wake rasmi kwa sasa pia ni member wa jf, akiona inafaa ataleta statement humu!.
 
Uenyekiti wa ile Kamati haumpi mamlaka ya kuyatolea kauli mambo ya kiserikali kama haya. Lile la Malawi alisukumwa na "URAIS" wa 2015 baada ya kuona "WASHINDANI" wake ndani ya CCM wamelitolea kauli nzito. Mwenyekiti wa Kamati yoyote ya kudumu ya BUNGE anafanya kazi zake kupitia kwa SPIKA.
 
Kamati ya ulinzi na usalama wanapenda tour za nje kwa kuwa ni Moro wanapotezea! kazi kweli kweli
 
Lowasa 'hujipenyeza' sehemu ambayo anajua atapata ujiko fasta fasta.
Kwenye mambo ambayo anajua yanaweza yakamtokea puani huwa hajishughulishi kabisa.
 
Mkuu yuko bize akijipanga kupanga na kupangilia mipango mkakati kamambe wa 2015, hivi hiki kifo cha raia mmoja tuu, hakiwezi kuleta milage kubwa, hata wale waliouwawa maandamano ya Arusha, hawakuwa na political milege, yeye huwa ana comment issues zenye political milage za kitaifa tuu!. Kwa vile mimi sio msemaji wake rasmi, kwa kuwasaidia tuu wanabodi, msemaji wake rasmi kwa sasa pia ni member wa jf, akiona inafaa ataleta statement humu!.
Pasco,
Kwa hili hata lile la Malawi hana msemaji. Kamati za kudumu za Bunge zinafanya kazi kwa kutumwa na SPIKA tu. Kamati hizi zikishalifanyia kazi suala lolote lile zinapeleka taarifa kwa Spika. Yeye ndie msemaji na mtoa maelekezo kwa serikali mara nyingi ndani ya Bunge kwenyewe.
Lowasa na ZItto mara nyingi wanakiuka madaraka haya kwa makusudi kabisa na kwa malengo ya mbali.
 
Yupo kwenye mbio za uraisi, nadhani ile ya Malawi ilikuwa ni sehemu ya kutafuta umaarufu zaidi, sasa kwa hii ya raia mmoja masikini aseme kwa faida ya nani? Na umaarufu wake utapanda?
 
Mkuu yuko bize akijipanga kupanga na kupangilia mipango mkakati kamambe wa 2015, hivi hiki kifo cha raia mmoja tuu, hakiwezi kuleta milage kubwa, hata wale waliouwawa maandamano ya Arusha, hawakuwa na political milege, yeye huwa ana comment issues zenye political milage za kitaifa tuu!. Kwa vile mimi sio msemaji wake rasmi, kwa kuwasaidia tuu wanabodi, msemaji wake rasmi kwa sasa pia ni member wa jf, akiona inafaa ataleta statement humu!.

pasco, pasco, pasco ...mwe!
 
Ina maana mauaji ya raia mikononi mwa vyombo vya usalama kamati yake haiwezi kuhoji. Siku wakiuawa kumi kwa mpigo nina uhakika atajitokeza. Kama alivyosema Pasco hiki ni kifo cha mtu mmoja Lowassa kitamsumbua nini?
 
Mkuu yuko bize akijipanga
kupanga na kupangilia mipango mkakati kamambe wa 2015, hivi hiki kifo
cha raia mmoja tuu, hakiwezi kuleta milage kubwa, hata wale waliouwawa
maandamano ya Arusha, hawakuwa na political milege, yeye huwa ana
comment issues zenye political milage za kitaifa tuu!. Kwa vile mimi sio
msemaji wake rasmi, kwa kuwasaidia tuu wanabodi, msemaji wake rasmi kwa
sasa pia ni member wa jf, akiona inafaa ataleta statement
humu!.

ni mileage si milage!
 
Mkuu yuko bize akijipanga kupanga na kupangilia mipango mkakati kamambe wa 2015, hivi hiki kifo cha raia mmoja tuu, hakiwezi kuleta milage kubwa, hata wale waliouwawa maandamano ya Arusha, hawakuwa na political milege, yeye huwa ana comment issues zenye political milage za kitaifa tuu!. Kwa vile mimi sio msemaji wake rasmi, kwa kuwasaidia tuu wanabodi, msemaji wake rasmi kwa sasa pia ni member wa jf, akiona inafaa ataleta statement humu!.

Mtu mmoja tu (tu)!- human life = statistics! Kwa wazazi wa ndugu Ally, hiki ni kifo cha mtu mmoja tu!, kwa kaka/dada, wana ukoo wa ndugu Ally, hiki ni kifo cha mtu mmoja tu!
 
Mtu mmoja tu (tu)!- human life = statistics! Kwa wazazi wa ndugu Ally, hiki ni kifo cha mtu mmoja tu!, kwa kaka/dada, wana ukoo wa ndugu Ally, hiki ni kifo cha mtu mmoja tu!
Pole Mkuu FJM, nisome hapa kuhusu police brutality igp-mwema-please-stop-this-police-brutality
Kwenye politics its about milage and not humility!. Tuliuona msiba wa Kanumba, dies the same day na former IGP na few days former CDF, uliona uzito ulielekezwa wapi!.
An apology for using satirical language on the loss of human life!

Much regret!.

Pasco.
 
Ina maana mauaji ya raia mikononi mwa vyombo vya usalama kamati yake haiwezi kuhoji. Siku wakiuawa kumi kwa mpigo nina uhakika atajitokeza. Kama alivyosema Pasco hiki ni kifo cha mtu mmoja Lowassa kitamsumbua nini?
Hata mtu wa kawaida ukiua kwa mara ya kwanza, unakuwa haunted na guilt conscous, ukiua tena inapungua, ukiua na kuua na kuua, inaisha kabisa mpaka unafikia point ya kufanya cold blooded murder without a blink!.

Hii ndio stage polisi wetu walipofika, mwezi April nilisema hivi -igp-mwema-please-stop-this-police-brutality
Kama waliwahi kuua 20 plus huko Pemba, no one aliwajibishwa, kila siku wanawauwa watuhumiwa, no one complains, maadamano ya Chadema Arusha, wameua mmoja eneo la stend kuu na mwingine kule LTD, wakatoa statement, eti waliua kwa self defence jamaa wakijiandaa kuvamia kituo kikuu cha polisi, miles away, and they got away with it!, kule Mbeya, they did the same, pale Dodoma, they did the same na death sio ya mtu mmoja!.

Kwa polisi wetu, wamesha reach ile stage ya no conscious why should anyone say anything while its a common place accurance?!. Mwache mzee wetu alisogelee daraja, tungekuwa karibu na daraja, angeongea not for humility but for mileage!

Pasco.
 
Back
Top Bottom