Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Aug 27, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180

  WanaJF

  Kituo cha Habari cha ITV ndicho kimeonyesha balanced story kwa mauaji haramu yaliyotokea Morogoro leo.ITV imeweza kumuonyesha mtu aliyekuwa jirani na muuza magazeti aliyeuawa kinyama ambaye amesema kwamba kijana aliyeuawa amepigwa risasi na polisi kichwani huku akiwa ameshika magazeti yake.

  Pia imeonyesha kwa kina mkutano wa CHADEMA, maoni ya wananchi pamoja na polisi wakipiga watu.Kupitia ITV watanzania wameweza kushuhudia vijana wa CDM wakiwa hawana hata fimbo bali wakionyesha tu alama ya vidole viwili na kubeba bendera za chama chao. Vyombo vya habari vinapaswa kuiga mfano huu.

  Hongereni ITV
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. m

  malaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nimeona. Mia ITV.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Kuna haja ya kuipata iyo kipande jamani wengine hatuko kwa matv
   
 4. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,620
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  TBC mbuzi kabisaaaa! yaani hata main news za leo wao hawaoni umuhimu wa kutaja jambo hili la kihuni linalofanywa na serikali.

  TBC Uchafu kabisa!!
   
 5. n

  nicksemu Senior Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TBC hamna kitu kabisa
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,474
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Tutafika tu.
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,801
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo huwa naipenda ITV. wamenikosha leo.
   
 8. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tunaomba kideo cha hiyo habari, wengine hatukuweza kuipata
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,043
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli TBC si ni ya Taifa au genge la wahuni?
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  TBCCM wako bize na walio hai ie sensa
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Kituo cha Habari cha ITV ndicho kimeonyesha balanced story kwa mauaji haramu yaliyotokea Morogoro leo.Pia imeonyesha kwa kina mkutano wa CDM,maoni ya wananchi pamoja na polisi wakipiga watu.
  Vyombo vya habari vinapaswa kuiga mfano huu.Hongereni ITV
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Tbc takataka mi huwa siangalii taarifa yake,wizi mtupu
   
 13. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watakubali tu
   
 14. K

  Kolero JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 491
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  TBC kila mtu anaogopa, analinda kibarua, ila ukiwa nao nje ya pale watakueleza kuwa hata wao hawapendi hivyo, wanaua taaluma kwa maslahi binafsi. Hii haifai kwa chombo cha umma kama hicho, subiri magazeti yao kesho ndio utaona hao jamaa wakoje waliopo chini ya mfumo huo wa ukandamizaji wa haki.
   
 15. chubio

  chubio Senior Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tulianza na MUNGU NA KUMALIZA NA MUNGU,viva CHAMEMA
   
 16. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,465
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Kwani hujui kuwa ni tv yao?
   
 17. m

  muchetz JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  He wenzangu mnapata wapi ujasiri wa ku tune-in TBC. Nina decoder ya StarTimes lakini kamwe sidhubutu kuangalia hao makuwadi wa maharamia.
   
 18. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mkuu, hawa tbc ni chini ya mbuzi, ni KONDOO kabisa. sijui kwa sababu yanafuata matakwa ya hili chama bomu ccm??? hawana maana kabisa hawa ma-ZUZU. Wao wanataka kulifurahisha tu hili li ccm bovu.


  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waachane na hili li-serikali la ccm MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,490
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna watu bado mnaiangalia hii tv? Nilishaidelete kwenye receiver yangu!!!!!!
   
 20. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,185
  Likes Received: 7,386
  Trophy Points: 280
  hongereni itv.!!!
   
Loading...