20 wa Sitta hawa...

20 wa Sitta hawa...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Kwanza wote wababaishaji.Pili,wote wamejaa kejeli,matusi,sifa za kijinga na propaganda.Tatu,wote ni mafisadi. Nne,wote wana roho za kwanini.Tano,wote ni wachumia tumbo.Sita,wote si wakuwaamini. Saba,wote ni wasema uongo na fitina.Nane,wote walim-asi J.K.Nyerere.Tisa,wote ni watoa na wapokea rushwa.Kumi,wote ni watu wa makundi,wadini,wakabila na wapenda utengano.Na nini sijui...

1. Samwel Sitta
2.Edward Ngoyai Lowassa
3.Bernad Kamilius Membe
4. Dr.Asha-Rose Migiro
5.Dr.Harrison Mwakyembe
6.Andrew Chenge
7. Sofia Simba
8.Anne Kilango Malecela
9.Dr.John Pombe Magufuli
10.Prof.Sospeter Muhongo
11.Dr.Hussein Ali Hassan Mwinyi
12.Dr. Emmanuel Nchimbi
13.Ezekiel Maige
14.Mwigulu Nchemba
15.Mohamed Dewji
16.Job Lusinde
17.Nape Nnauye
18.Hussein Bashe
19.Juma Nkamia
20.William Lukuvi

Kati yao,mmoja atakuwa mgombea wa Urais 2015.Lazima. Yeyote haaminiki.
 
Nimekugongea 'Like' kabla sijaisoma list, nilipoisoma nikakuta ni ile ile niliyotegemea, yaani 'exactly the same'
 
Nimekugongea na mimi like nyingine baada ya kumuona nape na mwigulu, maana hawana zaidi ya design hizi.
 
Kamanda mpaka hapo uko sawa ila kuna wengine umewaonea hapo kama h.mwinyi na husen bashe....ambao hawafai kuwa marais hapo kabisa kabisa ni b.membe,s.sita na migiro,afu vip mbona wasira sijamwona kwenye list.
 
Mbona baharia le mutuz @newyork hayumo!
 
Kigoda na Sumaye wameapa wanarudi kwenye kinyang'anyiro. Anyway, mimi katika orodha yangu sina mtu wa chama tawala hata mmoja coz CCM yote nilishaipiga "X" so sina wa kumjadili huko.
 
nilivyoona jina la nchemba na lusinde nikajua the list is a joke..no comment
 
Umemsahau Bi Kiroboto. He is, oh no! Am sorry; I mean she is the right candidate for CCM 2015!
 
MZEE SAWA ILA HUYO WA 19 MMHH!
ILAA KATI YA HAO SIONI ANAYEWEZA KUCHEZA NA DR, au perhaps ZITTO au hata Mbowe
 
When I have noted the Names of 1. Sofia Simba 2. Job Lusinde 3. Willium Lukuvi 4. Juma Nkhamia; I have concluded that the alternative is the proposed Team!!
 
Kwanza wote wababaishaji.Pili,wote wamejaa kejeli,matusi,sifa za kijinga na propaganda.Tatu,wote ni mafisadi. Nne,wote wana roho za kwanini.Tano,wote ni wachumia tumbo.Sita,wote si wakuwaamini. Saba,wote ni wasema uongo na fitina.Nane,wote walim-asi J.K.Nyerere.Tisa,wote ni watoa na wapokea rushwa.Kumi,wote ni watu wa makundi,wadini,wakabila na wapenda utengano.Na nini sijui...

1. Samwel Sitta
2.Edward Ngoyai Lowassa
3.Bernad Kamilius Membe
4. Dr.Asha-Rose Migiro
5.Dr.Harrison Mwakyembe
6.Andrew Chenge
7. Sofia Simba
8.Anne Kilango Malecela
9.Dr.John Pombe Magufuli
10.Prof.Sospeter Muhongo
11.Dr.Hussein Ali Hassan Mwinyi
12.Dr. Emmanuel Nchimbi
13.Ezekiel Maige
14.Mwigulu Nchemba
15.Mohamed Dewji
16.Job Lusinde
17.Nape Nnauye
18.Hussein Bashe
19.Juma Nkamia
20.William Lukuvi

Kati yao,mmoja atakuwa mgombea wa Urais 2015.Lazima. Yeyote haaminiki.

yaani ccm kweli tunavipaji hao wenye nyekundu nao wanatarajia kuwa maraisi wa nchi hii!!?
aaaaaaah ccm bwana!
 
Kamanda mpaka hapo uko sawa ila kuna wengine umewaonea hapo kama h.mwinyi na husen bashe....ambao hawafai kuwa marais hapo kabisa kabisa ni b.membe,s.sita na migiro,afu vip mbona wasira sijamwona kwenye list.
"mbivu au mbichi"
hajaonewa mtu.Bashe ana dream ya kuwa OBAMA wa TZ 2025.
 
Ukitaka kuelewa nini anasema Sitta basi tazama timu ya mawaziri kivuli.
 
Back
Top Bottom