Hivi Shigela ni Kijana? Ana Akili Vizuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Shigela ni Kijana? Ana Akili Vizuri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Aug 29, 2012.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wadau Nimeamua kuuliza ili kumfahamu vyema Huyu Kiongozi wa UVCCM Martin Shigela. Huyu Jamaa ni Kijana kweli? Hawa ndio wale Mchambuzi alikuwa anawafunda kwamba Kauli zao zinazidi kuchoche CCM Kuchukiwa.

  Yaani Jamaa alikuwa analaumu Polisi ni kwa Nini Waliacha Kuua Watu walivalia Magwanda, Bendera na kuvaa Skafu na kuua Kijana Muuza Magazeti

  Jee in any way anaweza kufananishwa na Kamanda Heche?

  Poleni CCM
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,160
  Likes Received: 4,183
  Trophy Points: 280
  No way
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Party Politics hizo. Anasaidia kuhamisha lawama.
   
 4. papason

  papason JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Maajabu kweli kweli!
  Yaani li uso lake lilivyo komaa vile lakini bado wamagamba wanamwita kijana!
   
 5. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nadhani mto mada hujui ulichokiandika bali ushabiki wa kisiasa ndiyo unaokufikirisha. Wewe unaona ni halali mtu asiye na hatia kuuwawa? Ndicho alichomaanisha Shigela; kwamba unamuona mhalifu badala ya kupambana na mhalifu unapambana na raia mwema. Kama ni kurusha risasi unarusha katikati ya kundi kwenye miguu na si kwa raia tena alikua kwenye biashara yake ya magzeti. Wewe unasema nani kama kamanda heche. Acha kumdhalilisha Heche yeye hawezi shabikia ujinga.

  Labda niulize swali moja, Wewe unaona wenye maduka wanafunga au wanajifungia ndani wewe ulio nnje unaendelea kwauzia waandamanaji magazeti tena kwenye kukimbizana na FFU inakuja akini mwa heche? Tafakari jibu litakuondoa katika mawazo ya kumdhalilisha Ndugu Heche na Matusi dhidi ya Shigela.

  Kuwa makini si kila kitu unawaza kisiasa, hata sias yenyewe kuna mahali inatenda siasa na sayansi.
   
 6. m

  mamajack JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kama ana umri wa ujana,basi mwonekano wake ni wakuzeeka sana,yaani babu shigela nilimsikia jana analopoka kama nape!sijui hata alikuwa anamaanisha nini,nyinyiemu kuna vichaa wengi, yeye asubiri tu aone ngoma inogile inavyochezwa.
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Tuliza Munkari Kwanza. Mkuu Risasi ya Bunduki ya Moto haina Jicho inaweza kupigwa upande huu ikaenda kuua Upande Mwingine. Swala kwamba Polisi kwa NINI HAWAKUENGA RISASI ZA MOTO KWA WALIOVALIA MWAGWANDA Ndio Hoja ya Shigela inayotufanye wengie tuhoji juu ya Uwezo wake wa Kufikiri

  Hakukuwa na Sababu yeyote ya Polisi kurusha hata Bomu la Machozi Sembuse Risasi za Moto LoL CCM mbona mnaleta Vimbwanga?

  Kwamba Risasi ingemkuta Aliyevaa Gwanda la CDM Shigela angelipongeza Jeshi la Polisi LoL
   
 8. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hapo juu wote hamkumuelewa Shigela. Kimantiki, alimaanisha CHADEMA ndio wamemuua yule kijana ili kuigombanisha serikali na wananchi!

  Halafu alipokuwa akimalizia, aliwashauri vijana waache kukubali kutumiwa na wanasiasa, sasa sijui yeye Shigela ni mzee au sijui yeye anatumiwa na wafanyabiashara!?
   
 9. m

  mamajack JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe kimeo cha magamba hebu tuondole porojo zako hapa.kwani pale alikuwapo mharifu????ndo muone ubabe mnaopandikiza kwa polos unamadhala,kwa hiyo huyo babu yako alitaka afe nani??polisnyinyiem ndiye waliyeamua kuua,wewe ulimuona nani pale alikuwa na hatia ya kufa.bora angekufa hata huyo shigela walau anahatia kwa kujiunga na kutekeleza mipango ya majambazi,mafisad yaliyokubuhu.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Unashangaa Shigela kuwa katibu wa vijana wa Magamba badala ya kushangaa Kingunge Ngombale Mwilu kuwa kamanda wa Vijana?
   
 11. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nimpongeze Opaque kwa kinielewa vyema. Wengine mnafikirishwa kichama. Tena kwa uongo usiyoeleweka eti risasi unaweza ukalenga kushoto ikatua kulia kitu ambacho hakipo risasi ina mwendo wa split second I can say.

  Nieleze vyema. Kama walikusudia kupambana na chadema kwanini warushe risasi kwa wengine? Ndio nikato mfano wa mhalifu. Hapa hatujadili kwanini polisi walitumia nguvu kubwa bali kauli ya Shigela. Kama vipi ianze mada ya matumizi ya nguvu kubwa. Hivyo swali la nani mhalifu, nani apigwe risasi mwenye magwanda ama la ni mada nyingine.
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,549
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  Shigela ni kibabu kinachotumia mkorogo ili kionekane kijana ila mkorogo umedunda kuondoa ile mikunyazi.
   
 13. eddo

  eddo JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  -hacha ujinga mabulangati
  wewe kwa akili zako fupi police anahaki kutoa hukumu ya kifo hata kama mtu katenda kosa?kama wameandamana police wangewakamata na kuwafikisha mahakamani,kama watakuwa wanahatia basi sheria ichukue mkondo wake.shigela na wewe akili zenu ni moja.wote ni pumba tuu!
   
 14. piper

  piper JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Matola;4521951]Unashangaa Shigela kuwa katibu wa vijana wa Magamba badala ya kushangaa Kingunge Ngombale Mwilu kuwa kamanda wa Vijana?

  Utani mwingine siyo mzuri mkuu, sina mbavu za spea
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hivi ndani ya ccm pana u-binaadamu kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shigella ubongo wake haufanyi kazi vizuri hana utofauti na wadogo zake akina lusinde na yule mwingine wa singinda yaani hata kutaja jina lake naona kichefuchefu
   
 17. a

  alfazulu JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 735
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Then aliwataja CDM kama ndo wahusika wa kifo hcho na sii polisi, halafu akawaomba polisi wafanye uchunguzi,

  Sasa kama tayari wanafahamu kuwa ni CDM wanahusika then uchunguzi wanini tena?

  CCM bana...............
   
 18. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo shegela ni zao la nape, ndio maana akili zao zinafanana....
   
 19. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mkuu Matola,

  Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa hata aliyoyasema Shigela ni ushauri
  toka kwa Kigunge siyo? Ushauri wa uzeeni + akili za ujanani = ??????...
   
 20. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  hata wewe sidhan km zimetim, mtu mwenye akili timam hawez andika upuuuziiii km huu
   
Loading...