jk na mizengo pinda mmetuulia dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jk na mizengo pinda mmetuulia dar es salaam

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kikoti007, Aug 30, 2012.

 1. k

  kikoti007 Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jk na mh.pinda turudushieni mamlaka ya dar es salaam kwa meya moja tu awe na sauti na mji wake huu uozo mlotuwekea kuwa namameya wengi hauna na hautakuwa na tiba kwa jiji hili hii ni njia kuongeza matatizo tunayoyaona sassa mji moja mameya sita kuna mkuu wa mkoa mkurugenzi nae ana sauti waziri wa tamisemi nae ana sauti kwa mji moja tu pls jamaa vitu vingine hamuhitaji muwe ma rocket scientist i hate this administration
   
Loading...