Safisha chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safisha chadema

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by WAGAMBAKI, May 21, 2012.

 1. W

  WAGAMBAKI New Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm kimeonekana chama imara, lakini kisipokuwa makini na vipandikizi kitasumbuliwa sana, na ili kiwe safi, fukuza vipandikizi vyote kikianza na shiubuda
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  asifukuze ila waviache Bwana wamavuno atachambua wakati wa kuvuna!
   
 3. w

  wakuwaza JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Shibuda mkabila. Amefilisika sera kichwani.
   
 4. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema ni pandikizi la conservative party. Inataka kuirudisha tanzania ilivyokuwa kabla ya uhuru. Kuvunja muungano, kujikomba kwa waingerea na wajerumani na kuiga kila jambo wanalolisikia. Hii movement for change ni mambo wameiga kwa mabwana zao nchi jirani. Tatizo ni elimu duni kwa zaidi ya nusu ya viongozi wa chadema. Cv zao ni uchaga. Watanzania bado hatujachelewa.
   
 5. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NILISAHAU. NIMEANGALIA KWENYE MTANDAO WA BUNGE NIMEONA CV ZA HAWA WANAOJIFANYA WANAUCHUNGU NA TANZANIA KULIKO WAKINA NYERERE. JOHN MNYIKA NI FORM SIX FAILURE TAMBAZA AKIWA NA DIVISION THREE. LAKINI KWENYE JAMII FORUM HII TULUDANGANYWA KUWA ALIPATA POINT TATU FORM SIX. KUNA UTATA KUWA LIONEKANA AKIHUDHURIA MASOMO YA JIONI PALE CHUO KIKUU YAANI BBA. CHA AJABU ANAJIFANYA ANATUNISHA MISULI NA KUKAZA SAUTI KUHUSU MAREKEBISHO YA KATIBA ILIHALI HAJAWAHI KUSOMA HATA LECTURE MOJA YA SHERIA. GODBY LEMA MASKINI KUMBE AMEISHIA FORM TWO. KITILA MKUMBO NI MWALIMU WA CHUO KIKUU LAKINI KUMBE HAKUWA NA gpa YA KUTOSHA KUWA MHADHIRI. NDIYO MAANA AMEKUWA AKUTUMIA MUDA MWINGI PALE CHUO KIKUU KUFANYA UJASUSI WA KUCHOCHEA VURUGU NA KUIMBA SIASA KUWAPOTEZEA MUDA VIJANA WETU. ALIJIUNGA NA CHADEMA AKITOKEA CCM BAADA YA KUSHINDWA KATIKA UCHAGUZI WA UMOJA WA VIJANA. FREEMAN MBOWE NO FORM FOUR INGAWA ALIWEZA KUPATA DEGREE YA UJANJA UJANJA KWENYE MITANDAO. HUYU SAVIMBI TUNAAMBIWA ALIFUKUZWA UPAROKO
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wee Mwaisoba unajua una tumbo la kuhara halafu unaamua kujamba hukujua kuwa lazima ungejinyea, ona umeaibika sasa!!!
   
 7. Z

  Zimba Senior Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umemtoa wapi huyu Mwamsoba(suba)? Mrudisheni bhana hajamaliza dozi.
   
 8. D

  Dany3 Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wanayo sema n kwel au'
   
 9. F

  Froida JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mwaisoba aka eddo mwamala aka shitambala aka tunteme at work
   
 10. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe poteza muda kukalia umbea. Yote tisa mfumo wa elimu hapa kwetu hauwapi fursa washiriki hilo ulijue. Pili angalia uwezo wa hawa watu katika kutoa hoja zenye mashiko. Kama mtu anaweza kupata degree after form four then he/she is very intelligent badala ya kupoteza muda wa miaka miwili kujiandaa kuingia chuo. M4C is inevitable hat usemeje
   
 11. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Magumashi...
   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  -Kwa viwango vya nchi div 3 hajafeli ,ingawa anaweza kosa nafasi kama kuna wengi wapo juu yake.Achilia mbali alikuwa A tisa O-Level.Pia ujue watu hufeli katik level fulani kwa vile wanakuwa priorities mbalimbali .JJ alikuwa na plan iliyomfikisha hapa.

  -Nadhani hata waheshimiwa wengi wanasoma Masomo ya jioni achilia mbali hao waliosoma online PHD zao bila hata kuonana na waendesha course live.Mbona kuna materials nyingi sana katika form ya vitabu/DVD na software za A-Z katika sheria na maeneo mengine yote, ambazo ni bora kuliko walimu wetu wa sheria hapa nchini.Zina (Audio, text,Video, examples za case za dunia kwa miaka mingi).Watoto wangu wana vitabu, cd, DVD ,etc ambazo zinawasaidia kujua wanyama, watu kwa harufu, touch cuture etc.Huw anatamani enzi zetu tungepata.Kuna haja gani ya kuingia class za kibongo zaidi ya kufuata certificate?Ya nini nikakute mhasibu analazimisha mimi nijue kuwa entry fulani iingie katik upande fulani wa accounts bila kunipa sababu na vigezo.Hata nikipiga first class najua kuna shida katika flexibility ya uelewa wangu.Nadhani kujua uelewa wa mnyika katika sheria Muulize Werema, halafu linganisha na wabunge wanasheria bungeni katika michango yake.Watu wanasoma kila siku,na si kujaza mivyeti huku kichwani mambo mapya yanakuja.Boss wa ngu wa Mwisho aniambia libadili fani kwa vile baada ya kusoma taaluma tiba za macho canada alikwena nchi isiyo na vifaa na aliporudi canada alijikuta alipaswa piga refresh sawa na kurudia degree yake.


  Sidhani kama CDM walipenda weka vyeti kiuhasilia,ila muda muafaka ukifika mtapata surprises sana,ingawa umechagua wachache wa kuwaweka CV zao.Mbowe ana spirit ya kuwa mtendaji zaidi na downlow tofauti na upana wa fikra zeke.Ndio maana Jimboni kwake aliwahi Kosa ubunge ila ahadi zake akatimiza na watu hawaijui sana familia yake ingawa hajafanya jitihada za kuificha.ndio maana wazembe huwa wanazusha mpaka vitu vya aibu, kuwa sijui hajalipa kadeni ka vimil 10.

  Mtaulizia sana kuhusu hivyo vyeti vya voda fasta kwa akina, Sugu, Lema, ila mtashangaa mziki wao nje na ndani ya nchi.Siku mtajua huwa wanasoma vitu wanavyovihitaji katika maisha na si kusoma ili kujaza vyeti.My friend mmarekani alikuwa akiniuliza unaipenda kazi ufanyayo nikamwambia siipendi, akaniambia kule kwao huwa wanaacha, nikamwambia sometimes hiyo option haipo either kwa ugumu wa kazi au hata ugumu kupoteza malipo ya kiasi hicho.So hata kusoma kuna watu wana option ya kusoma wakipendacho, wanachokiamini kitasaidia kufanya vyema kitu wakipendacho, na si vyeti na sifa, na kugangi ajira
   
 13. h

  hoot a.s New Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello!
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hata UK ,Germany ,Japan etc ni vibaraka vya US so what?Issue ni kujifunza ishi na mwenye fweza na nguvu bila kudhalilisha,huku ukipania kupunguza Gap mpaka ifike mahali naye aje kuomba.Kam ureno wanvyoenda Brazil,UK wanavyokweda US, Japani wanaporudi China Huku wakigombana.

  Hivi CCM bado wanakwenda Bulgaria,Algeria, na urusi?Au mmewaomba mpaka mkawazamisha?
   
 15. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Zuma mmeulizi elimu yake?
   
 16. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CDM tunataka watu wanaopiga kazi sio vyeti, kama wewe unataka vyeti nenda kwa Dr, Dr ,Dr Jk .
   
 17. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tunaomba CV yako hapa janvini ndio tufanye uamuzi juu ya maneno yako.
   
 18. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo utajua mitazamo ya watz. Sifa za kuwa good leader ni hizi: awe na vision ya kule anakotaka kulipeleka taifa na awe na njia ya kufika huko na kuwashawishi watu (sio kwa pesa) wamsikilize na kumfuata, awe msikivu. Vyeti ni kwa ajili ya watekelezaji. Tatizo tz hakuna leaders kuna watawala tena wenye mavyeti mazito. Tuulizane hapa ni wapi tulipo na ni wapi tunataka kwenda, na kama hao ma-prof na ma-dk wanatupeleka huko. Elimu ya darasani haiongezi maarifa, inaongeza conflicting theories na mwisho wa siku ni kushindwa kujua tunachotaka hasa kama taifa ni nini.
   
Loading...