Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wanaJF! Napata wakati mgumu sana kuelewa, kama walio wengi lengo letu ni kubadilisha mfumo uliopo sasa ambao kwa wengi wetu tunaamini umefail to deliver the promise for the past 50 years...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)KATA YA USA RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA MAENEO YA JIRANI KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mahojiano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa baina ya wanaowania nafasi mbalilmbali UVCCM.Inashangaza sana kuona ndani ya jumuiya hii baadhi ya vijana wamekubali kutumika vibaya kufanikisha malengo...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Akionge baada ya kumaliza vikao vyao mwenyekiti wa umoja huo amesema wana muunga mkono msajili wa vyama vya siasa kuvifuta vyama ambazo vina chonganisha serikali na wananchi! Hili limekuja baada...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Mwezi mmoja kabla ya kurudi bungeni kukamilisha vikao vya bajeti mh.mwakyembe(MB)ailikutana na wafanyakazi wa TAzara katika kipindi ambacho hawana mishahara ya miezi mitatu,waziri kwa kauri yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa taarifa nilizo nazo mpaka sasa ni kwamba kesho Jumatano Septemba 12, 2012 saa nne asubuhi kuna kongamano kubwa linaloshirikisha waandishi wa habari, madaktari, asasi zote za kiraia, madhehebu...
2 Reactions
86 Replies
9K Views
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa...
3 Reactions
112 Replies
9K Views
Naombeni kujua kila chama cha siasa kina Madiwani wangapi Tanzania -uchaguzi mkuu 2005 na -Uchaguzi mkuu 2010 -VITI malumu kwa wanawake 2005 na 2010 Kwa wenye taarifa kamili tafadhali Aksante sna
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Stephen Maselle (Naibu Waziri) amesikia akieleza waziwazi kuwakamata na kuwakabidhi kwa RPC viongozi wakuu (wageni) walioshiriki mkakati wa kutorosha dhahabu yetu bila kulipa kodi husika...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Mojawapo ya vitu ambavyo tumekuwa tukivisikia kwa muda wa wiki sasa na zaidi ni kuwa wananchi wanatakiwa "watii sheria". Kwamba wananchi wakitii sheria basi hawawezi kukutwa na matatizo mbele ya...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Moderator usiiunganishe hii thread na ille ya maandamano ya waandishi wa habari Nawapongeza sana waandishi wa habari kwa kumtimua waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi nawapongeza sana kwa...
28 Reactions
134 Replies
16K Views
Mheshimiwa Mwenyekiti, katibu mkuu wa chama, viongozi wa chama ngazi ya Taifa, mikoa na wajumbe wa mabaraza yote ya chama ngazi zote.. leo nachuua nafasi hii kuwapa summary ya mjumuiko wa utafiti...
36 Reactions
253 Replies
19K Views
Watu wengi tunaipenda CHADEMA na tunaombea ishinde uchaguzi ujao, lakini mimi natabiri sisi (Watz) ndio pia tutakaoiangusha CHADEMA iwapo itafanikiwa kuingia madarakani, na sababu ni tabia na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Serikali yetu na mazingaombwe yake... kumbe mwenzenu kafunguliwa mashtaka ya kusema uongo...
0 Reactions
229 Replies
27K Views
Slaa: Mauaji yaliyofanywa na Polisi yanahitaji Kuundiwa Tume na si Kamati - YouTube Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Slaa ametaka kuundwa ya kuchunguza mauaji badala ya kamati. Amesema kamati haina nguvu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
BAADHI ya wanafunzi wa sekondari wilayani Mpanda na Mlele mkoani Katavi wamejitokeza mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kupendekeza Katiba ijayo ibane walimu wa kike ambao wanapewa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MBUNGE wa Ulanga Mashariki (CCM), Celina Kombani amewasihi viongozi wa vyama vya siasa nchini kutumia vizuri majukwaa ya siasa kwa kueleza sera zao, badala ya kutoa kashfa na maneno ya kejeli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMATANO, SEPTEMBA 12, 2012 05:19 NA BAKARI KIMWANGA, PANGANI MBUNGE wa Viti Maalumu, Amina Mwidau (CUF), amesema wingi wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umekuwa ni kikwazo kwa wabunge wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…