Nawaonya vijana wa upinzani na wengine mnaotaka kutuchagulai Viongozi UVCCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaonya vijana wa upinzani na wengine mnaotaka kutuchagulai Viongozi UVCCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Confederate Spy, Sep 12, 2012.

 1. Confederate Spy

  Confederate Spy JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mahojiano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa baina ya wanaowania nafasi mbalilmbali UVCCM.Inashangaza sana kuona ndani ya jumuiya hii baadhi ya vijana wamekubali kutumika vibaya kufanikisha malengo binafsi ya watu na taasisi za kisiasa au makundi fulani ya kisiasa hapa nchini kwa fedha na au ushawishi bila kujua kwamba wanakiangamiza chama.Taarifa ni kwamba kuna waliopandikizwa na kambi za urais na wengine wamefikia hata hatua ya kutumika na vijana wengine nje ya chama kabisa.Hawa hatuna msalia mtume ni lazima tuwaweke pembeni.

  -Paul makonda anatumiwa na vijana nje ya ccm pamoja na baadhi ya wanasiasa wakongwe ndani ya chama hiki ambao wameshiriki kukichafua chama hiki kwa kiasi kikubwa pamoja na mgombea mmoja wa UWT pamoja na Nape nnauye

  -Salum Hapi anatumika na mtoto mmoja wa kigopgo anayejifanya yeye ndiyo kila kitu uvccm.Tutaona atakachoambulia uchaguzi huu

  -Sango Kasera anatumika na vijana nje ya CCM husuasani vijana wa Chadema wakiiongozwa na Ben Saanane

  -Zenda mzindakaya anatumika na baadhi ya vijana wa kambi mojawapo ndani ya chama

  -Felician huyu anatumika na kambi mojawapo ndani ya chama na pia akihusishwa na baadhi ya vijana nje ya chama hasa chadema.siku chache zilizopita alikutwa kwenye hotel moja maarufu na pamoja na waandishi wa habari na Ben Saanane wa chadema na vijana wengine

  -Mashtaka ya mavunde pia kuhusishwa na vijana hao wa chadema hayajaletwa katika mlolongo unaoashiria ushiriki wake katika siasa hizi za kihaini

  Naomba nitumie fursa hii kuwashauri vijana hawa wajichunguze tena kama kweli wanaweza kupewa mandate ya kuongoza jumuiya hii kongwe.Katibu UVCCM ndugu Martine Shigela ameshatoa muongozo kuhusu hili.Na nawaonya viajana wengine wa upinzani wanaojaribu kutupandikizia mwenyekiti dhaifu kwa malengo ya kurahisisha siasa zao kuelekea 2015 waache mara moja.Hii siyo demokrasia kuingilia michjakato ya kisiasa ya vyama vingine.Tunakosa mbinu ya kupambanisha sera badala yake tunacheza michezo michafu
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kumbe CCM nako huwa kuna Mamluki wa vyama nje ya CCM? Mbona Mkuu Ben Saanane anatuhumiwa na CDM kuwa ni mammluki huku tena anatuhumiwa kutumia mammluki kuimaliza CCM! Kwa hali hii siamini kama anaweza kuwa mamluki pande zote, atakuwa anamtumikia nani sasa manake CDM hayupo na CCM hayupo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mwenzetu umezidiwa ujanja na wenye fedhaaa!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mi kadi yangu yangu feki ya ccm nimeshalipia ada nasubiri kupiga kura kwa kipenzi cha chadema!
   
 5. m

  mamajack JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wewe utawaonya kama nani?wewe mtoto wa kiwete,mzindakaya etc???
  Halafu ujue ccm hakuna wa kumlaumu aliyekichafua ccm ila yeyote aliyemo ccm ameshiriki kwa namna moja au nyingine!!!!wote wachafu,mmeoza, ni wadhaifu,kama huamini fatilia chaguzi zenu za ndani then useme nani msafi,au sikiliza matamko ya viongozi wenu yalivyo dhaifu,hasa yale ya mwenyeketi wenu dhaifu!!!!yaani msilaumiane .cha maana chukua chako mapema (ccm)beba hata kalenda utatumia.
  Magamba hamna maana wote.naongea hivi najiaamini kama mtanzania.
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Unashindwa kuongoza jumuiya ya vijana unafanya character assassination against others.Toa uthibitisho wa haya unayosema.Udhaifu wako kama kiongozi wa jumuiya ndiyo ulio-groom vijana ambao wanatumika kama wapo.Behave like a leader !

  Unaamini kwamba kipindi cha uchaguzi watu hawastahili kukutana tena.Ni quarantine.Kazi ipo kama upeo wa wanaojiita viongozi wa chama kikongwe ndivyo wanavyofikiri.Mbona wewe hujawaambia wenzako jinsi unavyowapiga changa la macho huku ukiwa tayari na mgombea wako ambaye umemtaja hapo ili watu wasikushtukie?

  I don't waste my time with people that can not accept logic, facts and be objective. That is way our intellectual league
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,438
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha haaaaa kazi kweli kweli...
   
 8. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sioni cha ajabu, maisha ya CCM ndivyo yalivyo na sitegemei jipya.

  Policcm wanatumika na CCM kuzima upinzani.

  Dovutwa anatumiwa na CCM kuropoka ili apewe chai.

  CCM inatumiwa na wazungu kuiba madini yetu.

  Bastola inatumiwa na Rage kutishia watu Igunga.

  Shigela anatumiwa na shetani kusema policcm wana akili hawawezi kuua huku wanua
  Ritz na zomba wanatumiwa na Nape kuropoka mambo-taka JF


  Yaani ni kutumiana tu, sasa ni nini kipya hapo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kama umegundua haya mambo kwanini msiyafanyie kazi huko kwny vikao unakimbilia jf?huoni unakuwa mropokaji?
   
 10. M

  MGOME Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwa kweli hii haiingii akilini! Kama chama tawala mnaanza kulalamikia vyama vya upinzani Ambavyo kwa upande mwingine mnavidharau sisi wengine tutafanyaje? Yaani CDM wanainfluence katika uchaguzi wenu basi kweli CCM Kwisha kazi!
   
 11. Confederate Spy

  Confederate Spy JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wagombea wenu hawatpita.Tatizo lako unadhani mimi ni kiongozi uvccm.Maneno makali mliyoteana na benno malisa kule Rose garden makamalizane huko.Mgombea wangu ni yupi?Usinitishe na sijui Jeuri hii unaitoa wapi.Wewe ni mtoto mdogo sana hutaweza kutuwekea mamluki wako huku ili ukipata uenyekiti wa vijana huko chadema ukose upinzani kwenye siasa zenu za kutaka nchi isitawalike.
   
 12. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Siku zote chama dhaifu hutoa hoja dhaifu. Makundi mliyonayo yanatosha kabisa kuwavuruga ila hamtaki kukubali ukweli. Eti CHADEMA kinataka kuwapandikizia viongozi dhaifu? Ni lini ccm iliongozwa na kiongozi imara tofauti na Nyerere? Usitake nicheke!!!! Hizo ni ishara kuwa kwa sasa mmeshashindwa ila mnatafuta wa kumtupia lawama.
   
 13. Confederate Spy

  Confederate Spy JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Subiri tuchuje majina ndiyo mtajua.Magwanda mnapenda samna kusiasa za kuvuruga taratibu hata za wenzenu

  Ndiyo maana hatutaki watu dhaifu ili kuandaa uongozi madhubuti tuonane 2015.
   
 14. m

  mamajack JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hahahahahah,wewe acha hizo,wewe umchuje nani?????magamba huwa wanamwaga ngano na kubaki na mapumba,kama unabisha subiri,wewe si unataka kuchuja,wewe ndo utachujwa na kutupwa bahatini.jitambue bot ulopand a sio ya watu wenye mawazo ya kuchuja,wachujaji wenyewe ni mapumba akiri ndogo inaongoza akiri kubwa na inashinda,yaani kweli siasa ya magamba ya sikitisha sana.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,983
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  Mpaka kitaeleweka tu

  ImageUploadedByJamiiForums1347455899.761763.jpg
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Kaka,

  Sometimes I wonder what prompts people into writing posts with the sole purpose of distorting facts and misleading the public.In as much as I will not join issues with the poster of this misconstrued facts, I want to quickly inform whoever it is that we are not taken-in by this Lengthy trash of your story.


  Nimekwambia uthibitishe hayo uliyoandika.Name calling hapa JF hairuhusiwi.mtego wako wa kunifanya niingie katika kundi la wavunja kanuni siwezi kuingia.Jipange kuongoza vijana wako mkuu.weka tu uchaguzi huru na wa haki.hamchelewi kuwataja wengine kwamba siyo Raia

  Mzee ukiona mambo yamekuwia magumu tumia mbinu ya dharura kama mwenyekiti wako wa chama taifa.azima mbinu yake ya kumchagua spika.sema zamu hii makamu mwenyekiti UVCCM atakuwa jinsia hii,kukiwa kugumu ongeza vigezo vigumu vya dharura
   
 17. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Majibu yako yanathibitisha elements fulani za wewe kuingilia uchaguzi wa UVCCM.
   
 18. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Duu!!nyau kashikwa makorodani!
   
 19. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kwa hiyo in a nut shell UVCCM wote ni mapandikizi !!
   
 20. Confederate Spy

  Confederate Spy JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

  Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama
   
Loading...